المدة الزمنية 1:48

Spika wa Bunge, Dr. Tulia Ackson amesema chanzo cha kengele ya tahadhari kulia Bungeni leo..

بواسطة Kingdavy TV
5 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2023/06/27

Spika wa Bunge, Dr. Tulia Ackson amesema chanzo cha kengele ya tahadhari kulia Bungeni leo na kufanya Bunge kuahirishwa kwa muda ni vumbi lililotokana na matengenezo yanayoendelea kwenye moja ya vyumba vilivyo chini ya ukumbi wa Bunge. Spika Dr. Tulia amesema matengenezo hayo yanahusisha utinduaji ambao umesababisha vumbi hivyo vifaa vya kutambua hatari vikainasa vumbi hiyo kama moshi na ikapelekea kengele ya tahadhari kulia.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0