المدة الزمنية 4:55

Kwanza Bunge halijapitisha azimio bado lakini serikali imeshaleta hilo azimio kwetu

بواسطة BBC News Swahili
15 471 مشاهدة
0
71
تم نشره في 2023/06/08

Spika wa Bunge la Tanzania Dk. Tulia Ackson amesema bunge la nchi hiyo, bado halijapitisha azimio la makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu UAE kama inavyodaiwa na baadhi ya vyombo vya habari na makundi mengine. Katika mahojiano maalumu na mwandishi wa BBC Aboubakar Famau, Dk Tulia amekiri makubaliano hayo kufikishwa bungeni katika hatua ya mwanzo ya kujadiliwa na kutolewa maoni. #bbcswahili #tanzania #uchumi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 77