المدة الزمنية 2:11

Dkt. Tulia Ackson apongeza REA, Tanesco kwa kasi ya kueneza umeme nchini

بواسطة Azam TV
188 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2023/05/31

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameipongeza Tanesco pamoja na Wakala wa Nishati Vijijin (REA) kwa kuleta mapinduzi makubwa ya umeme nchini huku akieleza namna walivyoweza kupiga hatua ukilinganisha na mwaka uliopita. #AzamTVUpdates #AzamNews #TuliaAckson #Umeme #JanuaryMakamba

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0