المدة الزمنية 6:30

SPIKA DKT. TULIA ATOA ONYO KALI UPOTOSHAJI KUHUSU BANDARI HILI NI ONYO LA MWISHO

بواسطة Millard Ayo
20 559 مشاهدة
0
127
تم نشره في 2023/06/08

Spika wa Bunge, Dr Tulia Ackson ametoa ufafanuzi wa taarifa zilizosambaa zikidai kuwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari limeridhia Azimio la mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha ushirikiano wa kiuchumi na kijamii katika uendelezaji wa maeneo ya bandari nchini. Spika Dr Tulia amesema taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari kuwa azimio hilo limeridhiwa na bunge si za kweli kwani azimio husika kwa sasa bado lipo katika ngazi ya kamati ya pamoja kwa mujibu wa kanuni na mara baada ya kamati kumaliza kazi yake azimio hilo limepangwa kuingia bungeni tarehe 10 June 2023 kwa ajili ya mjadala na kupitishwa na bunge.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 118