المدة الزمنية 1:19

King’ora cha tahadhari bungeni kimemlazimu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuahirisha Bunge

بواسطة Azam TV
597 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2023/06/27

HABARI ZA HIVI PUNDE: King’ora cha tahadhari bungeni kimemlazimu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuahirisha Bunge lililokuwa likiendelea katika kipindi cha maswali na majibu kwa wizara ya uchukuzi na kuagiza wabunge na wageni wote kutoka haraka kwaajili ya tahadhari na kwenda kukusanyika sehemu maalum ya mikusanyiko ya dharura katika eneo la Bunge. Kwa habari Zaidi endelea kufuatilia Taarifa zetu za #Adhuburi #Alasiri na #taarifayahabariUTV.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0