المدة الزمنية 3:9

SPIKA DKT TULIA ACKSON,AMBANA MATIKO KUTOA MAELEZO KUHUSU MAUAJI YA WAFANYABIASHARA WADOGO SIRARI.

بواسطة Nickstory01
125 مشاهدة
0
8
تم نشره في 2023/06/28

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson, amemtaka mbunge wa Viti maalum Esther Matiko kuondoa hoja ya Mauaji kwenye swali lake, baada ya Mbunge huyo kusema kuwa wafanyabiashara wadogo wamekuwa wakiuawa kwenye mpaka wa Sirari. Matiko alisema hayo wakati akiulizwa swali la nyongeza kwa Wizara ya Fedha na Mipango.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2