المدة الزمنية 5:43

Dr. Kumbuka: Wanaume mnaowathamini Vimada kuliko wake zenu, Mkome

بواسطة TimesFMTZ
44 182 مشاهدة
0
351
تم نشره في 2017/10/18

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa 100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi. Follow us on twitter https://twitter.com/TimesFMTZ and on instagram http://instagram.com/timesfmtz#

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 109
  • @
    @brianmagali5486منذ 5 سنوات This is more than message, point noted! 3
  • @
    @natakanumberzampambaj8467منذ 4 سنوات doctor kumbuka mwenyez mungu akuzidishie umri nakupnda san walah ilike ur speech nakusikiza kutoka count 254
  • @
    @fatmakombo7584منذ 4 سنوات Asante kaka wambie kaka zetu na baba zetu loooooo
  • @
    @sarahmohamed337منذ 5 سنوات Kumbuka wanisema mmyalinikutanakupenda bure kkangu. 9
  • @
    @AminaAmina-bs1qpمنذ 5 سنوات Kumbukaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chogo km zigo lagogo 1
  • @
    @jA-ox7vzمنذ 6 سنوات Dr. Kumbuka na mzee wa ngenga mwishoooo 2
  • @
    @kibongobongo4608منذ 7 سنوات Message sent
    Mwenye akili atalifanyia kazi
    5
  • @
    @pierreoriva4131منذ 5 سنوات Wew jamaa nomaaa nimesikia Mbingu ,Ifakara 1
  • @
    @zaharasayyid5724منذ 4 سنوات Waambie kakaaa huwa hawakumbuki walipotoka
  • @
    @tabumduma33منذ 5 سنوات Khaaaa yaani wapo wazalilishaji kisa hawara baba 1
  • @
    @mwadawabekwa3695منذ 7 سنوات Mwanaume lijali aliyefunzw na mamake utamuona tu kaka kumbuka upo juu nakwambia 100% wanaume wengi washamba sana wakikipata pesa wanajiasau 7
  • @
    @messinakidodi579منذ 5 سنوات Wape maneno ..ii message n ya wale wanaume wanaojisahau wakipta hela .chamba ao shenzy 3
  • @
    @TanzaniOmanمنذ 5 سنوات hahahaaaaaaaa nimecheka mpaka bac maan umenilenga brother 2
  • @
    @elishangoma8235منذ 4 سنوات Duh jamaa hana nukta maneno yanaporomoka kama yame dunguliwa 1
  • @
    @zahramunir8596منذ 6 سنوات Mh..yote hayo yapo, hebu pasua huo ukweli.. 1
  • @
    @jesscahmshana5104منذ 6 سنوات Sura imekupauka ka mizani ya chalinze loh
  • @
    @abdulatifmoxamed8047منذ 4 سنوات Ngoja uone bado mtoto mdogo wewe unaongea kama huna experience ya maisha yote unayoongea kuna wanaume yamewakuta kufanyiwa na wake zao 1
  • @
    @user-ot3ht3qd2gمنذ 4 سنوات Umeyamaliza baba wewe.naskia chozi.. linataka kunitoka.umenikumbusha.mateso nmepitia..lkn najua mungu yuko.
  • @
    @lisajackson5867منذ 5 سنوات hahahaa dr kumbuka sku y arus yngu lzm uw mc wangu nakupendaga san ww kaka point 1
  • @
    @hollynationproductions6326منذ 6 سنوات huyu kaka nampenda hatari dah kwakwel waambie
  • @
    @jainaboman8952منذ 5 سنوات W aambiee wamezidii kujipaisha wakiwa nje hujifanyaa watunzaji lakini Hawana moja Wala Kumi namoja wapashee
  • @
    @aishasaid5702منذ 5 سنوات Waliodislike ndo hao yanawahusu hadi mawaidha wanadislike
  • @
    @najathyrashidy57منذ 6 سنوات kawagusa ndio maana mwasema sio mwanaume lenu ilo
  • @
    @yolakahmathews6913منذ 6 سنوات "Mashavu kama vile unaumwa safura" LOL
  • @
    @hawaally8234منذ 5 سنوات Kumbuka umenikosha yani wakipata pesa hawasikii hawajali mwisho utaskia we mchafu wakat hata ela yakusuka nywele za 1000 zinamshinda mtu unapaka mafuta yakula je utanukia saa ngapi kumbuka wachambe labda wataelewa 1
  • @
    @fasterwalker1464منذ 5 سنوات Huyu Ni shoga nini
    Chogo ka mzinga wa gongo kah nimekubali
  • @
    @fatmajuma5061منذ 7 سنوات umenikosha funguka uso umempauka kama mizani ya chalinze ha 1
  • @
    @mariamissa4186منذ 6 سنوات Kwamwanaume mwenye akili atalifanyia kaz wacha mie nitafute badae niishi kwa raha
  • @
    @edwardsichilengwe2330منذ 5 سنوات umepauka uso kama mizani ya chalinze, hili dongo linanihusu walahi.
  • @
    @najathyrashidy57منذ 6 سنوات wape wanao kuponda ujue yanawahusu wap usiwasikilize wajinga awo 1