المدة الزمنية 13:2

MPARACHICHI NI ZAIDI YA TIBA KWA MARADHI

4 633 مشاهدة
0
39
تم نشره في 2020/12/31

Mmea wa mparachichi tunautumia kama chakula hususani kwa zao lake maarufu la tunda la parachichi. Sasa mmea huo si tu chakula bali pia ni dawa tena yenye uwezo mkubwa wa kutibu matatatizo ya kinywa, matatizo ya hedhi, madonda ya tumbo na mengine mengi. Hakikisha unaangalia video hii ili uweze kujifunza kwa undani juu ya mmea huu na namna unavyoweza kutumika kutibu maradhi mbali mbali.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 7