المدة الزمنية 2:32

MAGUFULI Amjibu MBOWE - ETI Nipo CHATO, Ndio NITAZIKWA Huku, NIMEAGIZA Wasilipwe POSHO

بواسطة Global TV Online
167 146 مشاهدة
0
539
تم نشره في 2020/05/03

MAGUFULI Amjibu MBOWE - "ETI Nipo CHATO, Ndio NITAZIKWA Huku, NIMEAGIZA Wasilipwe POSHO" Rais Dkt. John Magufuli amemtaka Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Mwigulu Nchemba kwenda kufanya uchunguzi wa kina kwenye maabara kuu ya taifa kutokana na kubainika kwa majibu yanayoonesha kwamba sampuli zilizochukuliwa kutoka kwenye fenesi, mbuzi, kondoo na ndege, kutoa majibu yanayoonesha kwamba zina Corona. Rais Magufuli ameyasema hayo wakati akimuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Balozi Dkt. Augustine Mahiga ambaye alifariki dunia jana na kuzikwa leo nyumbani kwao mkoni Iringa. Rais Magufuli ameendelea kuwasisitiza wananchi kwamba wasiogope na kuwataka viongozi wa dini kusimama imara katika kipindi hiki kigumu. Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania http://bit.ly/exclusive_interviews

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 136