المدة الزمنية 11:7

Money Formula Book review- Book by Joel Arthur Nanauka

بواسطة InspireFikra
4 001 مشاهدة
0
57
تم نشره في 2020/05/19

"Kitabu hiki ni kwaajili ya mtu ambae anatamani kuishi juu ya mstari wa wastani, mtu ambae anasema niko tayari kuzijua siri muhimu za fedha na kuanza kuziishi mara moja" - Joel Nanauka Kwenye hii video nimekupa muhtasari wa kitabu cha Money formula- Elimu siyofundishwa shuleni kilichoandikwa na Joel Nanauka, pamoja na mambo machache yanayomhusu muandishi, utajua vitabu vingine alivyiviandika, namna ya kuvipata na kwa bei gani. Unatamani kukuza kiwango chako cha mafanikio ya kifedha? The money formula kiliandikwa kwaajili yako. Video edited: Filmmaker Joel Nanauka Pictures: Joel nanauka instagram account Pictures: Canva

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2