المدة الزمنية 7:51

Dunia simama wengine tushukeSikia Hekaheka hii ya mchungaji anayeibia waumini wake huko Madale

بواسطة Geah Habibu
23 958 مشاهدة
0
113
تم نشره في 2017/11/01

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 53
  • @
    @estherkoya8410منذ 5 سنوات Mchungaji ni binadamu, iman inatoka kwa MUNGU, mwanadamu anapokosea msihukumu iman maana aliyeiba ni mwanadamu sio iman imeiba, 7
  • @
    @saidndimbwa4976منذ 7 سنوات Dalili za qiyama.Allah atupe mwisho mwema inshaallah. 15
  • @
    @vinozamhone1110منذ 7 سنوات Don't call him mchungaji now just call him Mr. Footprints 9
  • @
    @reginalaurent5175منذ 6 سنوات Huyu dada.anavyoongea saut yake kama kajala 3
  • @
    @fatwimamakungu5456منذ 7 سنوات Hahaha jamani nime cheka da huu alipo sema siku akiludi na kikombe mama anasema Leo hali mbayaa wallah
  • @
    @user-br7nc7hw3lمنذ 7 سنوات Huyo mwizi hapo hapa mfai uyo., ni bora
  • @
    @wemapingu5580منذ 7 سنوات Hee makubwa mwizi huyo. Huo uchungaji ni kisingizio 1
  • @
    @suleimanaula447منذ 7 سنوات M'mbwa mwitu kavalia ngozi ya kondoo. 1
  • @
    @roseuwambe893منذ 3 سنوات Huyo sio mchungaji ni muizi mkubwa anajificha kwa mungu
  • @
    @wardamunguakuzidishew9399منذ 2 سنوات Kama Amna picha ya mtuumiwa usiweke kitabu cha mungu aliokosea ni binadamu kama nyie kwa nn mnaweka biblia mm muislamu lakini sijapenda 1
  • @
    @manahiljamal834منذ 2 سنوات Wasimfate matendo yake wayafate maneno yake
  • @
    @mamatuishi-mamatuondoke8822منذ 7 سنوات Mmh huyu zoa mamaye,Akome uichafua dini yetu,kibaka mkubwa 2
  • @
    @juliethhouseofdesigns147منذ 4 سنوات Uyo alijivika jina la mchungaji kama kivuri ila ukweli ni mwizi,
  • @
    @rukianzalawahe2773منذ 3 سنوات Sijapenda picha mlooweka mngeweka hata ya Nabil Tito 1
  • @
    @fidesbenard2701منذ 5 سنوات Hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni. ni Mimi na wewe kuacha matendo mabaya yaliokatazwa kwenye vitabu vya dini. ohooo uislamu ndio dini poa sio kweli id="hidden1" class="buttons"> jamani tuache kuanyooshea watu vidole uyo ametenda dhambi kama mtu mwingine ....وسعت 1
  • @
    @marygaspar6429منذ 5 سنوات Jamani kuna Waislam wangapi wanafanya makubwa hata zaidi ya haya? wapo Mashekhe waliolawiti je? na sisi tuwaulize Uislam nao ni dini? maana huyu mchungaji id="hidden2" class="buttons"> tu kudokoa ndo mseme Ukristo siyo dini. Hakuna kitu kibaya kama mwanadamu kujifanya mkamilifu kuliko wenziwe! ....وسعت 1
  • @
    @fidesbenard2701منذ 5 سنوات Hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni. ni Mimi na wewe kuacha matendo mabaya yaliokatazwa kwenye vitabu vya dini. ohooo uislamu ndio dini poa sio kweli id="hidden3" class="buttons"> jamani tuache kuanyooshea watu vidole uyo ametenda dhambi kama mtu mwingine ....وسعت 1
  • @
    @marygaspar6429منذ 5 سنوات Jamani kuna Waislam wangapi wanafanya makubwa hata zaidi ya haya? wapo Mashekhe waliolawiti je? na sisi tuwaulize Uislam nao ni dini? maana huyu mchungaji id="hidden4" class="buttons"> tu kudokoa ndo mseme Ukristo siyo dini. Hakuna kitu kibaya kama mwanadamu kujifanya mkamilifu kuliko wenziwe! ....وسعت 1