المدة الزمنية 18:59

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA KIPANDE.. SIR WILSON

بواسطة Sir Wilson.
34 279 مشاهدة
0
311
تم نشره في 2020/05/21

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 55
  • @
    @linaschannel3769منذ 3 سنوات Samahani nimesoma pft sanawari na sijafanikiwa kupata cheti mafunzo yalisitishwa kwa sababu ya ugonjwa was Corona na tukaahidiwa kutumiwa ujumbe mfupi id="hidden1" class="buttons"> kwa ajili ya kurudi kumalizia mafunzo lakini ndo ikawa kimya mpaka leo hakuna cheti Wala t-shirt na kwenda chuoni kuulizia nikaambiwa mmefunga hapo nikashangaa zaidi.natumaini utanisaidia ....وسعت
  • @
    @adelarogath6472منذ 3 سنوات Asante sana kaka wewe sio mchoyo mungu akubariki 3
  • @
    @giftshedrack9756منذ 3 سنوات Ubarikiwe Sana,nimeongeza ujuzi kwa kwakweli
  • @
    @veronica01magesa40منذ 2 سنوات Dah jmn umetoa elimu nzuri ubarikiwe sana tunaomba uendelee kuwa msaada kwetu
  • @
    @teclangalale9235منذ 4 سنوات Asante,, unafafanua vizuri Bila uchoyo
  • @
    @gloryaugustine9464منذ 4 سنوات Caustic nikishaloweka labda km imekuwa nyingi na imebaki inaweza kudumu kwa muda gani?? 2
  • @
    @marymnzava1786منذ 3 سنوات Samahan nauliza hayo malighaf yanapatikana katika Maduka gan
  • @
    @fasahaproductstv638منذ 4 سنوات Ahsante kwa ku2pa ujuz huo.Mbn caustic solution hkuiwek kwa mda baad ya kuiandaa? Nadhan kuna hatar ya sabun kuwasha hyo 1
  • @
    @quranismyheal9761منذ 3 سنوات Elimu nzuri sanna umetutupa mungu akulipe
  • @
    @mamajryani4669منذ 3 سنوات SAmahAn maduka ya hzo marigafi yanapatikana wap kwa hapa dar
  • @
    @esterest4338منذ 3 سنوات M nataka unisaidie jinsi ya kuweka vipimo sijakuelewa
  • @
    @ellenkamanzi3505منذ 3 سنوات Je kama sitaki iwe yarangi yamaua naweza kuacha kuweka rangi nikaacha tu ikaganda yenyewe bila langi?
  • @
    @backhome6667منذ 3 سنوات Kwa uwiano huo faida inapatikanaje mwalimu?
  • @
    @duoxmasisa6529منذ 3 سنوات Mimi hii ratio 1:4 siielewi kabisa,nahisi hii sabuni haitakuwa bora kabisa kwanini isiwe 1:2 + silicate+glycerine? Mkuu?
  • @
    @gracebenjaminnapokeakatika9565منذ 2 سنوات Sir nilisoma kwako ukiwa huku mbeya lkn ulisema tunaweza kupata vifaa vya kufyatulia sabuni lkn jins ya kukupata hujaweka namba yako ili tufate mashine hiyo maana kukata limekua tatizo
  • @
    @silasjoseph5305منذ 4 سنوات Ahsanteeeee saaaaana swali lagu ni kwamba hizo chemicals zinapatikana wapi na kwa Bei gani? 1
  • @
    @joycewanjiru9546منذ 4 سنوات mungu akubaliki kwa mafudisho yako mazuri alafu kuna mahali sijaelewa nikitaka kutengeneza 10litres ya maji nitaweka costic kiac gani na mafuta kiac gani pliz nijibu.
  • @
    @paulinajohn5911منذ 2 سنوات Mwl wangu,naomba msaada,nakufuatilia sana masomo Yako,umenifaa sana.ila natamani kuwa perfect zaidi,nisaidie vipimo vya sabuni kutokana na Lita 5 ya mafuta.natengeneza id="hidden4" class="buttons"> mara inakuwa ngumu,mara inakuwa laini sijui nakosea vipimo may be ,nisaidie tafadhali ....وسعت
  • @
    @bahatichars5891منذ 4 سنوات Teacher namba yangu naombq unichek 0672188596
  • @
    @esterest4338منذ 3 سنوات Samahani mwalimu mbna sijaona kuweka, sodium silicate
  • @
    @linaschannel3769منذ 3 سنوات Nimekutumia sms messenger hujanijibu tafadhali soma sms yangu Kisha nijibu tafadhali
  • @
    @linaschannel3769منذ 3 سنوات Samahani nimesoma pft sanawari na sijafanikiwa kupata cheti mafunzo yalisitishwa kwa sababu ya ugonjwa was Corona na tukaahidiwa kutumiwa ujumbe mfupi id="hidden5" class="buttons"> kwa ajili ya kurudi kumalizia mafunzo lakini ndo ikawa kimya mpaka leo hakuna cheti Wala t-shirt na kwenda chuoni kuulizia nikaambiwa mmefunga hapo nikashangaa zaidi.natumaini utanisaidia ....وسعت
  • @
    @paulinajohn5911منذ 2 سنوات Mwl wangu,naomba msaada,nakufuatilia sana masomo Yako,umenifaa sana.ila natamani kuwa perfect zaidi,nisaidie vipimo vya sabuni kutokana na Lita 5 ya mafuta.natengeneza id="hidden8" class="buttons"> mara inakuwa ngumu,mara inakuwa laini sijui nakosea vipimo may be ,nisaidie tafadhali ....وسعت