المدة الزمنية 6:5

KWA MZEE PINDA KATAVI KUNAZIDI KUNOGA, TAZAMA BARABARA ZAO

بواسطة Millard Ayo
6 890 مشاهدة
0
38
تم نشره في 2020/06/03

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Selemani Jafo anaendelea na ziara yake Mkoani Katavi, ambapo Leo baada ya kuongea na watumishi wa Manispaa ya Mpanda ameweza kuzindua Barabara za Mpanda mjini ambazo zinajengwa kupitia Mradi wa ULGSP, Mkoani hapo ''Hakika Mpanda mmepata Barabara nzuri hizi ni zakiwango cha Juu na haya ndio mapenzi wa Rais Magufuli kwa wananchi wake wa Mpanda hongereni sana'' Waziri Jafo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 16