المدة الزمنية 11:43

Kifo cha MAGUFULI, Chaibua HISIA Tofauti

بواسطة SUPER TAMUTAMU
781 313 مشاهدة
0
2.9 K
تم نشره في 2021/10/12

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 513
  • @
    @georgesmwanza4119العام الماضي Une dans la vie de voir un Président chrétien John pombe magufuli je salue cette force de conviction que te garde
  • @
    @aquilasmalela3383العام الماضي Je vois une fois dans l'histoire un président chrétien je suis congolais mais je aimé beaucoup cet homme
  • @
    @benedictmbelwa2385منذ 3 سنوات Mpendwa wetu Mwenyezi Mungu akuweke Mahali pema peponi. Amin 28
  • @
    @margarethkitalu3105منذ 3 سنوات This is exactly extremely broken heart .rest in peace baba wa Africa . 21
  • @
    @hymtv8504منذ 3 سنوات Kamwe hutasahaulika kwa kazi yako nzuri kama mtanzania mzalendo, Ukae mahala pema peponi umetuonyesha njia 6
  • @
    @neemarobson7276منذ 3 سنوات Rest in Peace unforgettable president. 9
  • @
    @cliffordcyprian9780منذ 3 سنوات Mungu Akulaze Kiongozi wa kipekee. Kiongozi wa kupigiwa Mfano. Mungu Akubariki mahali pema peponi . Na Mungu Awabariki Nchi ya Tanzania na ndugu wetu id="hidden1" class="buttons"> Watanzania fuateni Nyayo zake Hayati Rais. Viongozi Kenya pia na Mataifa mengine tuige mfano huo. Leadership comes from and it belongs to God. ....وسعت 15
  • @
    @plainojacob9805منذ 2 سنوات I live to remember this God fearing man the late president Pombe Magufuli. 1
  • @
    @cardinaltraveltourism4682العام الماضي A God fearing man, Africa needs more leaders who will put God first, people and country before all else…✊
  • @
    @florakweyunga4490منذ 3 سنوات Walikumaliza mpendwa wetu,lakini Mungu yupo,kufa hatakufa ila chamoto watakipata.Watanzania wote tunajua kabisaa,kifo Cha JPM ni Utata mtupu. 13
  • @
    @sajidatejpar316منذ 3 سنوات No one cn be like him I salute him he is a hero 3
  • @
    @kiyabolnjemu9646منذ 3 سنوات Kweli Baba yeti amezikwa Kwa ajili yetu! Alijitolea Kufa ili Sisi tuishi Burma, jukumu lake lilikuwa ni kutuvusha tukiwa pamoja. Inauma Sana lala salama baba 15
  • @
    @amockkalinga1520منذ 3 سنوات Baba,baba,baba Nina mengi yakukukumbuka pumnzka kwa amani baba nitakukumbuka daima wala siwezi kukusahau 7
  • @
    @margaretmbongo3440منذ 2 سنوات Sitakusahau ktk maisha yangu ulioyafanya hayatasahaulika kamwe mungu akulaze mahali pema peponi amina 2
  • @
    @ezekielchamoto5253منذ 3 سنوات Poleni watanzania,ila mkubali tu kua magufuli alienda kupumzika 4
  • @
    @esterzabron5933منذ 3 سنوات Jaman baba yetu wa kwanza tanzania tutakuenz mile bila kukuxahau maixha yetu yotee!?!? Pumzika kwa aman yooooote jaman baba u forever and always@# 3
  • @
    @littlekinglittleking330منذ 3 سنوات Cna la kusema Zaid mungu akupumnzishe tyu baba kwa Aman.. kusema kwelii mim cwez kukusahau daima bado ujanitoka moyon 2
  • @
    @ashurajuma9086منذ 3 سنوات punzika salama baba etu,hakika umetymuachia simanzi,,sijui kama tutafika huko ulipotukusudia baba etu,,inauma sanaa 4
  • @
    @katanamazurui4712منذ 3 سنوات Watanzania tuwe pole sote pia mungu ailaze roho ya shujaa raisi magufuli mahali pema peponi 1
  • @
    @moshimkumbi4625منذ 3 سنوات Mungu ampunzishe kwa aman baba tunateseka aliekuua atalipia maana damu haiendi bure baba lala kwa aman na ongoza malàika 13
  • @
    @hassanthoya8875منذ 2 سنوات Hongera dkt pombe makufili rais wa Tanzania 2
  • @
    @sandalalutubija235منذ 3 سنوات Aise jaman ,tulikupenda ila mungu kakupenda 5
  • @
    @emmanuelbonifas3517منذ 3 سنوات Mimi kwa nafisi yangu nakuombea kila siku mungu akupe raha ya milele na akusamehe upumzike kwa aman 'tumejifunza kupitia kwako 15
  • @
    @menyajoseph9729منذ 3 سنوات Jamani kifo nilazima lakini JPM mafisadi wa serikali wa limumaliza, inauma sana baaba ya Africa RIP we lost the great president of east Africa 18
  • @
    @cosmasmlyakado358منذ 2 سنوات Baba hatutakusahau kamwe pumzika Kwa amani 5
  • @
    @syksyk7295منذ 3 سنوات Ina lilah wa inna linah lajuun sasa tunakkkumbuka n tunadhd kkukumbka pumzka kwa Aman baba tunakuomb uwe nas maaan uk wananch uliokua unatutetea tumeshaanz
    Kunynyswa n kutesw ya rabb tusimamie
    2
  • @
    @vickyoung8516العام الماضي I really feel pain in my heart aki I miss this president , am from Botswana 1
  • @
    @AA-pd4pzمنذ 3 سنوات Jembe. Inshallah Allah atakupa atakuweka sehemu nzuri.. na niko radhi basi upate pepo yangu ..mungu mbariki huyu mwamba wa chato
  • @
    @ramyramy3455منذ 3 سنوات Mim naugua rohoni mpaka leo nasitasahau Babaetu kipenzi cha watu wote Africa , JPM alikua furaha kwa kila mtu hakua na upendeleo kbsaa alipenda wote Tajiri, id="hidden5" class="buttons"> Maskin, wakubwa kwa wadogo ,walemavu wote aliwasaidia kdri awezavyo. RIP Babaetu ....وسعت 4
  • @
    @febbycosmas6298منذ 3 سنوات Yaani huyu baba sijui Kama atatoka vichwani mwa watu. Kazi aliimaliza ndo maana Mungu alimpumzisha tu mbona hapa Mungu alimwokoa? Mungu endelea kutufariji 6
  • @
    @benjaminlijongwa3715منذ 3 سنوات Uki.sikiliza vizuri magifuli utajua kwanini nchi inakuwa masikini 1
  • @
    @youngb8672منذ 3 سنوات Subr niwashitak kwa mamlaka huskaaaaa mbwa niee naona mnashabkia kifo chake na kuanza kuandkactaarfa za uwongo hamuon aibu niee sio vzur 1
  • @
    @juliusdonard933منذ 3 سنوات Daaa cjui tutapatq raisi mwingine kama hyu 1
  • @
    @jaredwangwe2924منذ 3 سنوات Ulipenda nchi kwa uzalendo wa kweli.Tunakukumbuka 1
  • @
    @bakariibrahimu6056منذ 3 سنوات Mungu akulaze pema peponi Amina shujaa Wawa tanania hatuwezi kupata raising mwingine Kama ww
  • @
    @rahmaramadhan9773منذ 3 سنوات Msituumize miyoyo yetu jamanii kwani bado tu nalia kila Leo tunao mba mungu atusamehe mana tunapitiliza mpaka yakulia nanyie ndokwanza mnatuchubua roho id="hidden7" class="buttons"> jamanii tuombeane pumzika babaaetu sehemu yenye Amani na furaha mungu a kusamehe ulipo kosea BABAETU mzalendo kweli tu nakukumbuka kwamazuri yako ....وسعت 16
  • @
    @meshackntoga1566منذ 3 سنوات SAAANA, Hiyoooo, Watangulizi Baadhi yao sioo. MUNGU NA ATUJALIE. 1
  • @
    @emmanuelhatangimana3431منذ 3 سنوات Africa kunatakiwa viongozi wa ukwel kama mzee wetu magufuri !! Huyu alikua kipenzi cha mungu !! Musema ukwel!! Any way mungu wetu ampokee mbinguni!! Amina. 6
  • @
    @dontiamyamba7851منذ 3 سنوات Asa kichwa cha habari na ujumbe mbna mda mbili tofauti nyooo kutirusha roho t hapa
  • @
    @khadijashabani5509العام الماضي Roho zao zimeshawatulia mungu anawangoja
  • @
    @faidaimmaculee28منذ 3 سنوات Mtu mwema haishi Munge mtuma Congo sisi tunateseka kwa kukosa Raisi
  • @
    @marrykilyenyi8573العام الماضي Duuuuuuubaba daaaaah yan naumia sanaaaaaaaaaaaa angalia Tanzania vitu viko juu
  • @
    @remigiushaule3302منذ 3 سنوات Kama kweli kuna binadamu amehusika na kifo chake ajue wazi kuwa damu ya MTU haipotei inalia mbele MWENYEZI MUNGU MKUU.Itamludia tu.Huwezi kumwaga damu id="hidden9" class="buttons"> ya MTU asiye na hatia wewe ukabaki salama duniani kwanza utapoteza amani moyoni hiyo ni hukumu ya kwanza. ....وسعت 3
  • @
    @philimonmartine9642منذ 3 سنوات Mungu yupo tutakumbuka daima magufuli wetu 5
  • @
    @sharifaanna9288منذ 3 سنوات Pumzika kwa amani baba yetu wew ni xhujaa mungu akupe raha ya milele naitaware katka maisha yak mpya abay atayaza huko bingun amin 13
  • @
    @fakhiqram1213منذ 3 سنوات Rohooo inauma sanaa machozi yetu tungekua yanakuamshaa ungeamkaaa tu baba hata kwa Dakika moja tu ingetoshaa kukuona
  • @
    @mbunah255منذ 3 سنوات Siwezi ongea tena kuhusu kifo lakina naweza sema rest in peace shujaa wetu 14
  • @
    @annieamadeus168منذ 2 سنوات Hahika tunamlilia baba Wawa nyonge daima
  • @
    @jembeally8200العام الماضي Jama pole sana baba yetu pumzika kwaamani peponi bado tunakupenda
  • @
    @kibaopipa3474العام الماضي HATA WAO PIA WATAKUFA TENA WATAKUFA KIFO KIBAYA SANA
    LALA MAHALI PEMA SHUJAA WETU
  • @
    @anithawidambe7543العام الماضي KWELI BABA ULIWATETEA WATU WAKO NA NCHI YAKO ULALE SALAMA BABA.
  • @
    @munaahmed8499منذ 3 سنوات Walimuua ndio na Allah asimame na ww huko uliko hakika ungekuw ukifa unaamka ww umgeamka kwani watanzania tunakulilia had leo walah hatutakusahau ktk nyoyo id="hidden10" class="buttons"> zetu kwani ulitupenda wananchi wako na ukajitoa kwa ajili yetu leo hii tunanyanyasika wamachinga kupitiliza
    Baba amka utusikize sie watu wako
    ....وسعت 3