المدة الزمنية 4:57

Lowassa huku usije hatukutaki, ukija unapumzika Musukuma

بواسطة Millard Ayo
383 007 مشاهدة
0
1.3 K
تم نشره في 2018/01/10

Baada ya Headlines za Mh. Edward Lowassa Januray 09, kwenda Ikulu kuonana na Rais Magufuli na kupongeza baadhi ya mambo yanayofanywa na Serikali yake awamu ya tano, kuna mengi yamezungumzwa kwenye mitandao, Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma naye ameona kauli za baadhi ya watu kushtushwa na kitendo cha Edward Lowassa kumpongeza Rais Magufuli.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 676
  • @
    @fokasiinnocent3448منذ 6 سنوات msukuma upo vizuri sana na mungu akubariki.
  • @
    @godfreymihumo7766منذ 6 سنوات nakuelewa sana mwanaharakati mwenzangu
  • @
    @joycekaaya204منذ 6 سنوات Msukuma uyo.wasukuma bhana!!!Hatari sana,meza mate basi!!!
  • @
    @raphaelpaschal7892منذ 6 سنوات Msukuma uko vizuri, mbona wakati wa utawala wa mheshimiwa Jakaya mbowe na wenzake walikuwa wanashinda Ikulu, leo Lowasa ana dhambi gani kwenda Ikulu? Waambie hao, hawana ubavu wa kumhoji Lowasa. 1
  • @
    @rukiarashid8222منذ 6 سنوات Habari ndio hyo,ujumbe umeshautuma! Kazi kwao kukuelewa au kukubenza
  • @
    @princesaintnewton4175منذ 6 سنوات Ahsante baba bado mm njooni mnihoji nimalizie shuguli.
  • @
    @sultanvdeo4996منذ 6 سنوات Msukuma upo vzuriiiiiii nakukubali sana wape vidonge kaka
  • @
    @officialkamduduمنذ 6 سنوات Umeua ! tuone mwenye mbwa kama atang'atwa na mbwa wake .
    dadeki !
    22
  • @
    @saleheinnocent7636منذ 6 سنوات Unaweza kutukana kila mmoja wetu isipokuwa makonda na boss. 3
  • @
    @edinachami1754منذ 6 سنوات duuuu!! kweli mbowe mmeiua chadema wenyewe mtamkumbuka Dr silaa 8
  • @
    @methodneka2791منذ 6 سنوات Jamani kumbe chadema iliuzwa .na hao viongozi ni watumishi wake auuu???? 3
  • @
    @allenmunuo9133منذ 6 سنوات kidampa hahaha msukuma you made my day 1
  • @
    @khadijapazia4062منذ 6 سنوات King nimetokea kukupenda Sana aisee hasa nikiona ile cm yako
  • @
    @mercyemmanuel8536منذ 6 سنوات yap hadi raha ukweli ndiyo huo.ccm mbele kwa mbele. 2
  • @
    @stewartmillanzi3918منذ 6 سنوات Mmmh.nilikuwa sijakuelewa vizuri.kumbe unajichanya tu kwenye maelezo yako.
  • @
    @amosdaudi9793منذ 6 سنوات Hahahahahahaaa supar mzee baba umewapa ya jandoni.
  • @
    @fadhilimgohamwelu1891منذ 6 سنوات Msukuma nimekuelewa sana na nimekukubali 26
  • @
    @veronicazacharia2080منذ 6 سنوات ww una akili kuliko mbowe kasome Qt kwanza 2
  • @
    @damaswatanda3899منذ 6 سنوات brother me huwa nakuelewa sana punguza ukali wa maneno mzee huko alipo kwenda pamemshinda
  • @
    @saidwilson6529منذ 6 سنوات Hili shoga kweli eti nalo linajiona linaongea point 5
  • @
    @babary1690منذ 6 سنوات Huyu ni mzima kweli???
    Elimu bure
    4
  • @
    @evalinnkumbi4139منذ 6 سنوات we kibaka wa wapi tena?jamani?njaa zinawasumbua jamani.
  • @
    @marcomasaka4773منذ 6 سنوات Lowasa huo ndo ukomavu wa kisiasa.
    CCM ndiko ulikoanzia na Mr President anafanya kazi nzuri na anakaa na watu kupata ushauri nawe Lowasa umeliona hili na kukutana na rais.
    Big up Magufuli! !!!!!
  • @
    @josephnchunga6554منذ 6 سنوات uko sawa mbunge wa Geita hilo ni genge la wahuni hata ukiwakabizi serikali hao wataipeleka inchi pabaya Sana hawafai kuongoza inchi
  • @
    @shedynanda7393منذ 6 سنوات mwehu ww hunaakili maana umetumia muda mwingi lakin hueleweki duhh kweli ww nimsukuma kweli 2
  • @
    @emmanuelnkinga2173منذ 6 سنوات Aaaah.Mwenye Mbwaa hawezi ng'atwa na Mbwaa Wake
  • @
    @hakianani2009منذ 6 سنوات Ukweli unauma msukuma wape vidonge vyao Mimi mwenyewe chadema dam lakin kwa hili tupe vidonge vyetu tujirekebishe
  • @
    @joshuaelihuruma2632منذ 6 سنوات Hivi haka kajamaa kanavuta bhangi ya wapi?
  • @
    @sky-wz5ziمنذ 6 سنوات Heee,msukuma kanichekesha jmn,!! mwanzo anasema lowasa arudi azikwe kwa heshima. gafla anasema hamtaki asirudi huko. halafu msukuma una pumzi sp class="buttons">eed 360 aiseee,!! hupumziki,? huhemi wala humezi mate hata kope hukapuiiii uuuwiiih,! nimecheka jmn ....وسعت 2
  • @
    @riscaoscar521منذ 6 سنوات Meza mate basi duuuuuuu jamani hyuy baba anaongea sana haaaaaaaaa haya safi
  • @
    @jisephmaganiko3859منذ 6 سنوات Kweli elimu inamsaindia mtu huyu jamaa mbona ata simuelewi Mara joo Mara hatukutaki duu geita jaribun kufumbua macho 7
  • @
    @mwajumakweli6753منذ 6 سنوات Hahahahaha huyu msukuma bhana mbona anachanganya mada mala oooh arudi tu mala ooh akae huko du. kweli huyu Msukumaa
  • @
    @abdulkiswanya5104منذ 6 سنوات msukuma sijakuelewa,mara njoo huku ndio nyumbani Mara kaa huko Na wahuni wenzako,Mara siwezi kuwa Na namba ya muhuni,duh basi tu nimechoka
  • @
    @yassininabwera62منذ 6 سنوات Huyu ndie Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,anaitwa Joseph Msukuma(Nchi ihalalishe Bangi),hivi kweli seriously huyu ni mbunge anatuwakilisha id="hidden4" class="buttons"> Watanzania,kutunga sheria za nchi na pia kuisimamia Serikali ilete maendeleo ya nchi!Kweli jamani Watanzania,haya bwana. ....وسعت 19
  • @
    @eliajimmy5128منذ 6 سنوات Siku zote mwenye akili finyu hutukana badala ya kujenga hoja huwezi kuita chama upinzani ni genge la wahuni wakati vyama upinzani vinatambuliwa na katiba id="hidden5" class="buttons"> ya Tanzania .Nawasihi viongozi wa chadema wasijibizane na huyu punguani maana siajabu amevuta bangi maana huwa anaitetea sana bangi. ....وسعت 6
  • @
    @ayubudtktv2684منذ 6 سنوات daaa kweli lowasa mkuu unaogopeka Mzee wa Monduli.,msukuma mwennyewe anasema nchi hii hakuna wa kumgusa lowasa,..
  • @
    @lameckzacharia4489منذ 6 سنوات Msukuma sjawahi kuacha kufuatilia clip zako coz ww nishuja wasiasa unajua kuwajibu wapinzani wa Bongo.ha et tuone mbwa ana ng'ata mwenye mbwa,pole id="hidden6" class="buttons"> sana mbowe kwa siasa zako za kibiashara Leo hasara ya wapga kura imekukuta utajikomba sana cc ni ccm mbele kwa mbele,inawezekanaje nmpigia kura mtu anaye kila size hiyo siyo yake!! ....وسعت
  • @
    @aloycemwakatala2634منذ 6 سنوات Unauza sura kwenye media kwaajili ya maneno mabovu namna hiyo? Na bado mwandishi wa habari anakusikiliza da ana roho ngumu.
  • @
    @UlimeAمنذ 6 سنوات et genge la wahuni.. haya bana eti nyanya zimefyekwa na dc.
  • @
    @eliasobah6298منذ 6 سنوات Eleweka bhasi we mwanaume mara njoo mara hatukutaki, asa msimamo wako ni upi??? au hujui unachonena..