المدة الزمنية 33:40

Mpaka Home: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Muigizaji Yusuf Mlela

بواسطة Global TV Online
410 805 مشاهدة
0
1.8 K
تم نشره في 2017/07/05

Mpaka Home wiki hii imemuibukia msanii wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo mbali na mambo mengine, ameonesha mambo mbalimbali yahusuyo maisha yake ya kila siku. Yusuf Mlela ameonesha tuzo kadhaa alizowahi kushinda, ikiwemo tuzo ya Ijumaa Sexiest man 2009, aliyotunukiwa na gazeti la Ijumaa linalochapishwa na Kampuni ya Global Publishers pamoja na tuzo nyingine, ikiwemo ya Kinara. Amezungumzia kwa kina kuhusu maisha yake binafsi na maisha yake ya kisanii. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/ TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 538