المدة الزمنية 4:19

Tazama Bwana Tunakuja Kwako Leo - Deo Kalolela | Sauti Tamu Melodies | | Sadaka na matoleo

بواسطة Sauti Tamu
691 968 مشاهدة
0
2.3 K
تم نشره في 2020/03/14

Tazama Bwana tunakuja kwako leo, twaleta sadaka yetu mbele yako, tunakuomba Mungu Baba pokea umetungwa na Deo Kalolela umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki waimbaji ni Sauti Tamu Melodies furahia nyimbo zetu humu kama Nikupe Nini Mungu wangu, nitakwenda mimi mwenyewe, sasa wakati umefika, nimeahidi Yesu na nyinginezo za kwaya za katoliki. #sautitamu #kwayakatoliki #sautizakuimba

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 481