المدة الزمنية 10:50

DKT MPANGO ATOA SOMO BUNGENI UKUAJI UCHUMI WA NCHI

بواسطة Benny Mwaipaja
83 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2019/02/03

Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, atoa somo kwa wabunge na watanzania wa ujumla kwamba uchumi wa nchi unaendelea kukua na kuimarika, ahimiza watanzania kushikamana na kuiunga mkono Serikali.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0