المدة الزمنية 2:42

LISSU ALIVYOWATOA HOFU WANANCHI KAMPENI ZA CHADEMA DODOMA

بواسطة Mwananchi Digital
52 244 مشاهدة
0
334
تعليقات - 206
  • @
    @ruthmsumari5255منذ 4 سنوات Sema mkuu wetu tunakupenda kura yangu umeipata ww ni shujaa mungu anakupenda usimwache 1
  • @
    @epaphrodittorwiza3009منذ 4 سنوات Kura yangu unayo nasubili Jumatano 28..10..2020 2
  • @
    @queenpiscator6117منذ 4 سنوات Hongera sera zako sio uchonganishi wewe ni mpuuzi 1
  • @
    @peterezrom5194منذ 4 سنوات Umeongea vizuri Sana. Huwa napenda sikiliza hotuba zako. Hakika Mungu huwa anawapa watu vipawa. Mi nikuombee Mungu akuepushe na maadui wowote.
  • @
    @tajjudinihaji2776منذ 4 سنوات Mashaa allah lissu nakupenda pia Allah akujalie iyo kanzu iwe ni sababu ya wewe kuingia kwenye dini ya haki 23
  • @
    @noelbabuyaمنذ 4 سنوات sawa Rais
    Umenigusa kwa kweli
    Watu tunaogopa kitu ambacho lazima kiwe
    4
  • @
    @tatuali1379منذ 4 سنوات Duh nipo omani kur yangu unaikosa baba 1
  • @
    @issaallimohammed4975منذ 4 سنوات Kamanda siro waambie tume ya uchaguzi watende haki ikitendwa amani lazima itashamiri bila kuombwa 5
  • @
    @luluamri370منذ 4 سنوات Utamaliza mavazi , kijani iko vilevile ,sera yako ni hiyo hiyo.dodoma nabii Mussa alishapita hapo kashazoa kura zote kizota.we Baki kuwa kinyon class="buttons">ga mara ombaomba mala keo mwanasheria, mara kesho mchimba mkwala ,mara mfokeaji, mara unarudia line za magufuli adui mkubwa hofu, .tarehe 29 utapanda lorry za usiku kwenda Kenya kuianza safari yako ya kurudi Belgium. ....وسعت
  • @
    @rojaboka7910منذ 4 سنوات Ww ndio mwanasiasa wengine wachumia tumbo 13
  • @
    @issaalfani1030منذ 4 سنوات waTanzania tunakwama wapi mtu anapo sema yanayo wakuta wengi kisha tukapuuza nikukosa mawazo yamaisha halisi 7
  • @
    @sophialaurent2876منذ 4 سنوات Bwabwaja yoote lakin urais hupati hata utambikie 1
  • @
    @johnbosco1058منذ 4 سنوات kampeni jamani ni shidaa yaani kaamua kutafuta kura kishehe hhaha
  • @
    @kassidpandu866منذ 4 سنوات Risasi 19 masikioni mwetu tumechoka kuisikia 1
  • @
    @georgenyalulu4550منذ 4 سنوات Mweshimiwa hofu gani umaongelea maana hofu ya corona tumeshaitupilia mbali na corona ilikimbia ila wenzako walisusia bunge sababu ya corona lkn kampeni id="hidden3" class="buttons"> zimeanza naona hakuna hata mmoja aliyevaa barakoa, au nao wameisjinda hofu!!? Brain storm ....وسعت 2
  • @
    @adammjomba7112منذ 4 سنوات Mimi kura yangu lazima nimpe kamanda MH TUNDULISU yeye ni mwenye wekedi na subria na pia anamaono mzuri huyu mtu atatuvusha sioni vile mh makufuli anaweza id="hidden4" class="buttons"> tuvusha miaka 5 ya serekali yake ni njaa na kutokujua kesho yako .yeye anahimiza fanya kazi nani asiefanya kazi ? Tumeanza Leo kazi mpaka tuna watoto lipi is ajabu ktk kazi lakini wewe makufuli amefunga njia za fedha kazi hakuna tusifanye wapi sasa ? ....وسعت 10
  • @
    @aminaabdallah7702منذ 4 سنوات una vaa kanzu ili yufiche kuwa yuko na maframason wanao abudu shetwani ? onesha vidole tena kama yulio vionyesha shinyanga mungu hapendi uongo wala kumdanganya id="hidden5" class="buttons"> na kuruani pamoja na yisilamu haitakiwi uongo haya yendelea hivo yutaona mwisho wake ....وسعت 1
  • @
    @jamesbantom7052منذ 4 سنوات Tatozo Chama chako kinaendeshwa kitapeli
  • @
    @jamhurramadhan3707منذ 4 سنوات Ww hata ukivaa joho urais utausikia tu ss tunakujua km mnafiki mkubwa ww
  • @
    @jazeelaabdi396منذ 4 سنوات Mm najitambua vizuri nyinyi mnaoshabikia matatizo sera zenyewe ananadi risasi na matusi halafu unategemea aje akujue shabikieni hashindi hata mfanye nn 2
  • @
    @jarsaduba2626منذ 4 سنوات Acha kutumia jia ya mkato kutafuta kiti cha Raisi Ukweli dio itakuweka huru 6
  • @
    @saidabdala4980منذ 4 سنوات Malim seif mpe huyu kamanda agombee urais ZANZIBAR. Kidume huyu ukimleta ZANZIBAR. Baai itagonboka tu
  • @
    @issaadinaniissa6487منذ 4 سنوات kwqni lisu na ray kuna udugu maan duuh,,,, kama ma apple vilee 1
  • @
    @davejoe5949منذ 4 سنوات We semaaaa uzandiki usichenji maneno sema akule mwenyewe, Adui yako Nina? 4
  • @
    @reubenbegashe2372منذ 4 سنوات Sasa mbona wenzako walikuwa na hofu ya Corona, Lakini Mimi na wao tuna hofu na Wewe ya kwamba unatumika na mabeberu kuvuruga Aman Yetu wa TZ 10
  • @
    @wilfredmlaki822منذ 4 سنوات Chizi tu wewe!kibara Na msaliti tu wewe!Eleza una sera zipi! Mbona hueleweki yaani unatuchanganya tu,Eleza utalifanyia nini taifa!
  • @
    @Mamatonny2065منذ 4 سنوات Huna nia nzuri na Tanzania.
    Hofu uliyonayo umeileta wewe mwenyewe!..Jaribu kuwa na busara unapofanya kampeni zako..
    Acha kelele. id="hidden7" class="buttons"> />Acha kumtukana Magufuli.
    Acha kuhamasisha fujo.
    Acha wivu na Magufuli.
    Eleza Sera zako kwa watanzania!.
    ....وسعت 9
  • @
    @ziadasadiki8196منذ 4 سنوات JAMANI KURAAAA Hatariiiiiii Leo kavaa Kanzu 3
  • @
    @Mwarobainiمنذ 4 سنوات Kuna tukio limetokea muda huu huku bofya link hapa chini kuona tukio lote https://youtu.be/2y7XYuQ8aFo 1
  • @
    @amanchatila2083منذ 4 سنوات kisa kavaa kanzu jamaa zetu comment zao zinamtia moyo 1
  • @
    @somiyosam43منذ 4 سنوات Lisu mm mwenyewe mkristo lakn cjapenda waslam wanayo fanyiwa namagofuli mashee wafunguliwe niyeye mwakauu sasa.basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 8
  • @
    @jonathanfrancis2385منذ 4 سنوات Haustahili kuvaa nguo hizo
    huku unashabikia ushoga moyoni mwako
    2
  • @
    @bartonfredrick5047منذ 4 سنوات We ndo mwenye hofu unataka madaraka kwa kufosi 6
  • @
    @iyapothemarker1637منذ 4 سنوات Duhh,, huyu jamaa kumbe Tundulisu ndo alivyo
  • @
    @jumakibanga2140منذ 4 سنوات Lissu piga Kazi achana na hao wanaoasema umetumwa 11
  • @
    @thieryniyonkuru5023منذ 4 سنوات Umerudi na asylum seeker ya Belgium , wadanganye mazwazwa wenzako 4
  • @
    @aboubackhrkassangullah3377منذ 4 سنوات Mie kilicjonivutia ni hiyo kanzu na kofia tu basi 1
  • @
    @jazeelaabdi396منذ 4 سنوات Hashindi na hatoshinda jipeni moyo tuui 1
  • @
    @sasha-ri7tfمنذ 4 سنوات Baadhi yetu tupo majasiri kukukaribia wewe Mhe Tundu Lisu, na tunazidi kumuondosha mdudu hofu katika kiwiliwili chetu sababu tukiendelea kuogopa hatutoyafikia id="hidden8" class="buttons"> malengo tunayo jipangia.‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️ Power ‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️ Power ‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️ Power. CHADEMA Peoples Power. ✌❤✌❤✌❤✌❤✌❤✌❤ ....وسعت
  • @
    @elminakalunga4030منذ 4 سنوات Ungetuona tunavyokucheka hukuuuuu! Wachekesha ujue! Shoga na kanzu wapi na wapi jamani?! 2
  • @
    @athumankigomba427منذ 4 سنوات Mpeniuraisi mtiweuchoko waulizeni afrika ya kusini wote wamealibika watuwanawaleleka wanavyotaka
  • @
    @jameskatoto5279منذ 4 سنوات Karibia utavaa chupi wewe hupatikn
    Ng'o
    1
  • @
    @meddymushimaz4998منذ 4 سنوات Wewe unavaa nguo nzuri za heshima wakati unataka kutufanya mashoga 1
  • @
    @samwelsimon9278منذ 4 سنوات Hakuna maendeleo bila ccm kuwa mpizani niuwongo mtupu 2
  • @
    @sifamushi1747منذ 4 سنوات Mzee Lissu kwa kweli Leo UMENIFURAHISHA VAZI LA HESHMA!!!
    KANZU NA BARKA SHEA.. SAFI SANA MKUU.. Uwe unapiga ayo mapigo mara kwa mara.
    Please id="hidden9" class="buttons"> someone close to Chadema wamfikishie Mzee Lissu hii meseji. all the way from New York!!!
    ....وسعت
  • @
    @uledimtumwa2406منذ 4 سنوات Hawa jamaa wa aina hii ni haraàaam kuwapa uongozi.Kategea uchaguzi ndio Katia timu . ngoja uchaguzi uishe kama hajakimbia mzushi huyu.
  • @
    @jazeelaabdi396منذ 4 سنوات Hushindi na hatukupendi unadhalilisha vazi la waislamu unajifanya swala wakati ndani mbwa mwitu 1
  • @
    @fatumamilimo7336منذ 4 سنوات Yaani dodoma tunavyompenda magufuli acha tuuu yaani huna cha kutuambia.ila hoja nzuri ahsante Kwa kushiriki 1
  • @
    @husinayahaya2445منذ 4 سنوات Wewe hata ukijipendekeza na uisilam huwezi kupata uraisi bwege wewe 4
  • @
    @athumankigomba427منذ 4 سنوات Wewe kibaraka msimsikilize shertani firimaso mchagueni shoga huyo
  • @
    @musamkare8990منذ 4 سنوات Utabadili sana mavaz ila ikulu forget kuingia
  • @
    @stephenmseti5539منذ 4 سنوات Tuna hofu na wewe maana ulienda kutibiwa ulaya lkn cha ajabu kwa kushirikiana na msaliti mwenzako mkawa mnaisema nchi ughaibuni kwa mabaya tu, pia ulikuwa id="hidden10" class="buttons"> unazunguka ktk nchi za ulaya na Marekani kumsema Rais wetu na nchi yetu vibaya. ....وسعت
  • @
    @kasimugullum5862منذ 4 سنوات maneno yenye yaqiin, kama ya aboud rogo (rah'matullahi aleyhi). 1
  • @
    @philemonkwembe482منذ 4 سنوات Ana lolote uongo tu atuonyeshe nn alicho fanya katika Tanzania au uko kwao 3
  • @
    @amosmoses7800منذ 4 سنوات KILA MMOJA ATAKUFA ISIPOJUWA JOHN POMBE POMBE. UYU HATOKUFA. ATAISHI MILELE. NA NDIO MANA ANABADILISHA KATIBA AONGEZEWE MUHULA WA KUTAWALA MILELE
  • @
    @hktztv6519منذ 4 سنوات Sikiliza cheche za TUNDULISU Dodoma kuhusu MAGUFULI

  • @
    @majaliwacosmas3322منذ 4 سنوات Hakuna kitu wewe mjinga, Bora mtu are kwa ugonjwa kuliko kutuletea Vita. 4
  • @
    @nickkakumbi9567منذ 4 سنوات Kichaa ni wewe..marisasi yanasumbua akili yako..mwehu wewe 3
  • @
    @maspro6294منذ 4 سنوات Wewe kibaraka wa mabeberu hakuna wa kuwapa inchi nyinyi mtabaki kubwaka kama mbwa koko wewe labda uwe Rais mashoga na kuzibua vyoo na October mkileta Fujo id="hidden12" class="buttons"> tutawapiga kama mbwa koko na wewe tutkimaliza uchaguzi tunakufunga miaka 2 sisi ni JPM miaka 20 atake asitake tutabadilisha katiba hili shoga halina Sera Yoyote zaidi ya kuropoka sema utawafanyia nini Tanzania ....وسعت 1