المدة الزمنية 6:14

KIJANA ALIYEACHA KAZI YA UCHIMBAJI KWA BILLIONEA LAIZER AGEUKIA NYIMBO ZA DINI,ASKOFU SHOO AMBARIKI

بواسطة Millard Ayo
14 915 مشاهدة
0
134
تم نشره في 2020/09/27

Paul Siria ni kijana aliyeacha kufanya kazi ya uchimbaji wa madini kwa Bilionea wa Saniniu Laizer nakuamua kumtumikia Mungu kwa njia ya nyimbo ambapo ali-trend baada ya kumtungia bilionea huyo nyimbo alipopata madini ya Tanzanite yenye thamani ya shilingi Billion 7.8 ambayo aliyauza serikali.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 25
  • @
    @ezekiamwainunu6932منذ 4 سنوات Nimekuwa wa kwanza kutazama nombeni like 100 tu 10
  • @
    @godfreyjosephbakeri6093منذ 4 سنوات Kama umeipenda huo uamuzi wake gonga like twende sawa 9
  • @
    @JK-uq1tvمنذ 4 سنوات Ahsante Sana Baba askofu kwa maneno yenye hekima na Busara juu kumtumikia Mungu kwa vipawa na karama alizo tupa 1
  • @
    @browrinah9357منذ 4 سنوات Hongeleni sana jaman, na Mungu awabariki.
    Tuzidi kuipeleka kazi ya Mungu mbele
  • @
    @nass.pofficial4086منذ 4 سنوات Mziki mzuri unaskilizwa na kupewa saport bc na me naomba saport zenu kupitia nyimbo yng hi
  • @
    @bundukitv1322منذ 4 سنوات Hasira imekuwa ikiwaathiri wengi katika maisha yao ya kila siku kwenye jamii zao. Hapa nimeona nizungumze nawe kwa upole kabisa njia hizi 10 za kuweza id="hidden2" class="buttons"> kuepuka madhara yatokanayo na HASIRA / JAZBA. Tafadhali soma kisha share na mwenzako naye apate faida
    ....وسعت
  • @
    @bjzee1981منذ 4 سنوات Mbona ni mwimbaji wa mda tu tangu alivyo muimbia Magufuli
  • @
    @royalsecuritysolutions5610منذ 4 سنوات CCTV CAMERA TANZANIA
    Imarisha ulinzi wa eneo lako kwa kufunga mifumo imara ya uangalizi wa cctv camera .
    Unaweza kufunga nyumbani , of id="hidden3" class="buttons">isini, shule , hospitali, kiwanda , eneo la mradi na godauni .
    Tuna camera zenye uwezo mkubwa wa kukupa picha angavu mchana na usiku . Camera zina uwezo mkubwa wa kutambua kila kitu ikiwemo ni pamoja na namba za magari kwa usahihi pamoja na sura ya mhusika .
    Pia utakuwa na uwezo wa kuangalia camera zako ukiwa sehemu yoyote Duniani kwa kutumia simu yako ya mkononi .
    Tuna tumia bidhaa zinazoaminiwa Duniani kote aina ya HIKVISION .
    KARIBU TKUFANYIE KAZI BORA NA SAFI KWENYE ENEO LAKO .
    PIA TUNAUZA NA KUSAMBAZA VIFAA VYOTE VYA MIFUMO YA CCTV CAMERA KWA BEI NAFUU KABISA
    0710201330
    ....وسعت
  • @
    @KUTOKA-ep2fkمنذ 4 سنوات Na nyie maaskofu haya marungu makubwa na haya makofia yameandikwa katika maandiko gani yenu?