المدة الزمنية 3:48

TANZANIA ILIVYOJIPANGA KUIZUIA CORONA SIO MCHEZO

بواسطة Bongo5
3 052 مشاهدة
0
23
تم نشره في 2020/02/29

Serikali kupitia kwa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu imepiga marufuku salamu ya kupeana mikono ambayo Ni maarufu Sana nchini katika kipindi hiki Cha tishio la Virusi vya Corona. Akizungumza Jijini Dar es Salaam kuhusu tahadhari zinazochukuliwa na Serikali Waziri Ummy amesema pamoja na kupeana mikono pia watu wahawapaswi kukumbatiana au kubusiana ili kujikinga na Virusi vya Corona. Waziri Ummy amesema tayari Serikali imetenga maabara Maalum ya kuwapima wagonjwa watakaohisiwa kuwa na Virusi vya Corona ambapo Kati ya saa 4 na 6 majibu ya vipimo yatakuwa yametoka.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11