المدة الزمنية 9:33

Tundu Lissu: 'Mimi sijawahi sema hata siku moja kuwa nitaruhusu mapenzi ya jinsia moja'

بواسطة BBC News Swahili
57 582 مشاهدة
0
300
تم نشره في 2020/10/23

Alikuwa mbunge wa Singida Mashariki tangu mwaka 2010. Alipigwa risasi mwaka 2017 ambapo alirudi Tanzania mwaka 2020, baada ya kupata tiba kwa muda wote huo nchini Ubelgiji. Katika mfululizo wetu wa kuzungumza na wagombea wa viti vya urais Tanzania bara na visiwani, Mwandishi wetu Zuhura Yunus amezungumza na Tundu Lissu, mgombea urais kupitia chama kikuu cha upinzani, Chadema. Mwanzo alimwuuliza kuhusu vipaumbele vyake iwapo atachaguliwa kwa nafasi hiyo. #TunduLissu #UchaguziTanzania2020 #CHADEMA

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 361