@wardayusuf8545منذ 3 سنواتMashaallah very nice inshaallah nitajaribu 1
@
@zubedaally4458منذ 3 سنواتMa Shaa Allah.. Nzuri sana. Nitajaribu In Shaa Allah 1
@
@fatmaomar3928منذ 2 سنواتSalaams. Question..how do u preheat an oven
@
@salmaramadhan9113منذ 3 سنوات@mapishi rahisi can you cook without oven
@
@munaosman716منذ 2 سنواتShukran kwa recipe nzuri, ilikuwa nataka kujuwa hayo maziwa umewekaa mwisho ni condensed milk au maziwa fresh? Ahsante
@
@nahyamohamed805منذ 2 سنواتA alkm Nkitumia kima kilo moja na nusu Kwa unga 2kg naeza tengeza 50pcs coz nizabiashara 1
@
@saidasalim8499منذ 2 سنواتHio choper y kitunguu ni y mkono au yatumia umeme yapatkana wapii dear
@
@Firdausmohamed46منذ 2 سنواتDear Kama sina unga wa maziwa naweza tumia maziwa fresh? 1
@
@user-mh2yp2uq6wقبل 5 أشهرMapishi pambe kipenz ila mm naomba utufahamishe jinsi ya kupika half moon
@
@farhiyahussein6184منذ 3 سنواتAa kama wataka kutengeneza ya nusu sio kilo vipimo vya unga ni hvyo ama wapunguza
@
@selmealkhatry3915منذ 3 سنواتMashaallah mungu azidi kukupa afya ili utufunze zaidi 1
@
@zuweinaabdallah6207منذ 3 سنواتMashallah ninapenda sana mapishi yako. Allah aķupe nguvu na afya uzidi mutual mapishi mengi. Barakallah fiik.shukran sana.
@
@thekickblogمنذ 3 سنواتmashaaAllah recipe hii pia wa Russia wanapika hivyo. Tofauti ni spices kwenye nyama. Tunashukuru umetulea kwenye kiswahili. 1
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Mapishi ya buns za nyama laini sana | Mapishi ya Ramadhan 1:
Nkitumia kima kilo moja na nusu
Kwa unga 2kg naeza tengeza 50pcs coz nizabiashara 1