المدة الزمنية 25:5

MCH.DANIEL MGOGO - MCHUNGAJI UNAAGIZA POMBE ,KUMBE UNAYEMWAGIZA MSHILIKA WAKO

بواسطة Uhai Online Tv
294 620 مشاهدة
0
1.4 K
تعليقات - 127
  • @
    @AbdulAbdul-pr9qeمنذ 4 سنوات mie ni muislam ila huyu mchungaji ni mfano wa kuigwa na wachungaji wote, mafundisho yake anafundisha hadi wasiokuwa wakristo, binafsi namuelewa sana MGOGO 50
  • @
    @kevokipanya4808منذ 4 سنوات mtumish Amen kwel unayo sem naumen fumbua sasa asnt mtumish mungu asid kukup upeo wakutufundish sisi kondoo wako 2
  • @
    @marketphone6353منذ 4 سنوات amina na mm namuerewa san mungu awe naye na ampe miaka 20000000000000 5
  • @
    @asentusodhiambo9621منذ 4 سنوات Bwana Yesu apewe sifa, tunashukuru Sana mafunzo ya dharura tunaiyoipokea 1
  • @
    @lucasleonard5290منذ 4 سنوات Nime kufuatia sana mchunguji,mahubiri yako yapo tofauti sana wewengine,waleee mahubiri yao ni yamaari 2
  • @
    @sophiemulebinge3350منذ 4 سنوات Mafundisho aya Yana tujenga saaana. Mungu akubariki baba.
    Nakufata, nikiwa Congo
    2
  • @
    @anethkalokola5777منذ 2 سنوات Ubarikiwe mtumishi injili yako ya ukweli mtupu sema tupone
  • @
    @jaclinsimon9999منذ 2 سنوات Asante ubarikiwe maana najua utafanya wanaume wengi
  • @
    @brigithaassenga5191منذ 4 سنوات Ni kweli baba nikikumbuka mapito niliyopitia Mungu mwenyewe anajua kwa sababu yeye ndo aliyenipigania; Asante Jehova shama kutupa Mchugaji mgogo. 2
  • @
    @esperancekavira8548منذ 2 سنوات Mungu akupee maoni zaidi na zaidi mchungaji
  • @
    @irenesimon9107منذ 3 سنوات Kweli muchungaji ingekuwepo kipimo sijiwi ingekuwaje kweli Mungu atuhulumie 1
  • @
    @annamrima5507منذ 4 سنوات Ameen mchungaji mungu akubariki na akuinue zaidi 1
  • @
    @bahatimmependezamwanginda5202منذ 4 سنوات Kupitia mahubiri yko wengi wanaponywa, wanaosema husomi maandiko wanakuonea wivu
    Achana nao, piga kaz baba songa mbeleeee
    1
  • @
    @nyaxx38منذ 3 سنوات Ama Kwa kweli neno hili ni la kweli kabisa. Mungu atusaidie
  • @
    @irinewafula1557منذ 4 سنوات Waaaaaa!!!ukweli kabisaa unasema,, maji moto ya kuoga hahaha kweli mchungaji 2
  • @
    @irenemacha7457منذ 4 سنوات Jmn wanaume wanatunyanyasa sana Tukwila na Mumbai
  • @
    @focuseric4109منذ 4 سنوات Yan upo sahihi ata mm niseme ukwel wa mungu nilikua ivo lkn ss kwasababu yako nimebadilika yani nasema kwel yamungu kasoro tu kumuamsha asubui lkn mengine nimo na nungu anisamehe. 2
  • @
    @eliasmsese7694منذ 4 سنوات Yes bshop Daniel mgogo nakbal Sana mahubili yako bless 1
  • @
    @jamessila3219منذ 2 سنوات Sasa Kama maisha ya doa ni hivi nitaoa
  • @
    @christinekituyi9826منذ 2 سنوات Ile hekima uko nayo pastor si ya kawaida
  • @
    @josephineabedi8100منذ 4 سنوات Uwambiye wale wa baba walisha tutesa wala hawajuwe kuomba msamaa kama wamekosa
  • @
    @hanningtonedagwa8636منذ 4 سنوات Mahubiri yako bishop yatosha umehubiri ukweli kabisaaa 1
  • @
    @lubungaetienealmasi1059منذ 4 سنوات Nipo Canada ila wanga nakufatilia sana Mungu akubariki 1
  • @
    @koshnmjomba3702منذ 4 سنوات Hapa Mchungaji, umetupiga goal kumi bila.
    Lakini heri akuambiaye kweli ukakasirika kuliko rafiki anaye kudanganya na ukapotea miondoko
    2
  • @
    @irenemacha7457منذ 4 سنوات Mgogo sijui nikununulie soda??? Hujawai kukosea 3
  • @
    @cheiknamouna2058منذ 4 سنوات Waambie tu baba ili usije ukaulizwa kwa nini uliona ukanyamaza 1
  • @
    @irenemacha7457منذ 4 سنوات Nikweli mchungaji mwanaume anakuacha na mimba ya miezi 9 bila hata huruma anasafir kwenda kula bata anakuacha unahangaika usiku kucha msaada anaokupa anakwambia id="hidden3" class="buttons"> ukiumwa usiku kamwamshe baba wa jirani akusaidie kwa sabbu ni rafiki yke ....وسعت 1
  • @
    @lydiahann1737منذ 4 سنوات Mungu akumbaliki mchungaji na azindi kukupa ufunuo uendelee kuieneza ijiri 2
  • @
    @irenemacha7457منذ 4 سنوات Nikweli mchungaji mwanaume anakuacha na mimba ya miezi 9 bila hata huruma anasafir kwenda kula bata anakuacha unahangaika usiku kucha msaada anaokupa anakwambia id="hidden6" class="buttons"> ukiumwa usiku kamwamshe baba wa jirani akusaidie kwa sabbu ni rafiki yke ....وسعت 1