Kwenye episode mpya ya #Soga, Skywalker amezungumza na mtangazaji wa kipindi maarufu cha redio, The Playlist cha Times FM, #LilOmmy kuhusu safari yake ya Dubai, sababu ya kuendelea kuwa miongoni mwa watangazaji bora wa redio, nidhamu yake katika kazi na mambo mengine