Katika video hii tunazichambua sifa na kazi za kiungo namba 8(nane) katika mpira wa miguu(Football).
Kazi za kiungo Namba 8
1. Kuunganisha team ya mbele na ya nyuma
2. Kusaidia ukabaji(Ulinzi)
3. Kusaidia mashambulizi
4. Kupiga pasi
5. Kutengeneza nafasi za magoli
Sifa za kiungo Namba 8
1. Maono mazuri (Good vision)
2. Uwezo mzuri wa kupiga pasi
3. Stamin(Msuli wa kutosha)
4. Control na techniques
5. Uwezo wa kukaba
#KaziNaSifa #ZaKiungo #Namba8 #Football #Mpriawamiguu #motechspot