المدة الزمنية 9:56

Wafahamu washindi wa wiki ya Saba ya promosheni ya Twende Mjini na M-Pesa

بواسطة Vodacom Tanzania
101 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/07/22

Wiki ya saba ya kuwatafuta washindi wa promosheni ya Twende Mjini na M-Pesa imekamilika na kama umepitwa na yaliyojiri, bası usiwe na wasiwasi, kipindi hichi kitakujuza yote kuhusiana na wiki hii ikiwa ni pamoja na safari ya kuwatafuta washindi, kuwakabidhi zawadi na namna gani unaweza kujishindia zawadi ya bodaboda, bajaji au gari jipya kabisa la mwaka 2021 kila unapotumia M-Pesa.#twendemjininampesa #pesanimpesa

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0