المدة الزمنية 4:9

Agnes Ndunguru: Mkunga kijana anaeokoa maisha ya wanawake na watoto Tanzania

بواسطة BBC News Swahili
813 مشاهدة
0
13
تم نشره في 2021/12/16

Katika mfululizo wa makala kuhusu vijana walio chini ya miaka 30 tunaangazia vijana waliofanya vizuri na wanaoendelea kufanya vizuri katika teknolojia, siasa na kijamii kwa nchi za Afrika Mashariki na leo tunae @midwifeaggie ambae ni mkunga kijana mwenye shauku ya kuokoa maisha ya mama mjamzito na mtoto mchanga. Mwandishi wa BBC @frankmavura amemtembelea na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #mkunga

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2