المدة الزمنية 4:1

JINSI YA KUPIKA BUNS/SKONZI ZENYE NYAMA YA KUKU

بواسطة Mapishi na Amanda
305 مشاهدة
0
6
تم نشره في 2020/07/17

karibu kwenye mapishi na Amanda, leo tunapika skonzi zenye nyama ya kuku, skonzi hizi zimekandiwa nyama ya kuku iliyopikwa tayari mahitaji nyama ya kuku ya kusaga nusu karoti hoho kitunguu ginger garlic paste chumvi unga wa ngano kilo moja baking powder kijiko kimoja cha chakula hamira pakiti nzima butter vijiko viwili vya chakula skonzi hii unaweza kuila kama chakula cha mchana, jioni au hata asubuhi na chai au kahawa, usisahau kulike, kucomment na kama ni mara ya kwanza usisahau kusubscribe channel yetu.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0