المدة الزمنية 5:10

Twimbe kwa Shangwe | Sauti Tamu Melodies | Mwanzo wa Misa | | Sr. Bibiana Munini

بواسطة Sauti Tamu
832 824 مشاهدة
0
2.3 K
تم نشره في 2021/08/18

Twimbe kwa shangwe na furaha, tuimbe kwa shangwe na furaha, Bwana ametufanyia makuu. _ Umetungwa na Rev Dr. Sr. Bibiana Munini. Umeimbwa na Sauti Tamu Melodies Umetayarishwa na Martin Mutua Munywoki. _ Ni wimbo wa kuingia kanisani/kuanzia ibada ya misa (entrance) _ Usikose kutazama nyimbo nyingine za kwaya katoliki zilizopendwa na zenye umaarufu Kenya na Tanzania kama vile Nikupe nini Mungu wangu, sasa wakati Umefika, nitakwenda mimi mwenyewe, utukuzwe ewe baba, n.k. Tazama pia nyimbo kutoka Tumshangilie Bwana kama vile Nimeahidi Yesu, Njooni Tumwimbie na Kumshangilia, na zaidi #SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipenda

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 378