المدة الزمنية 32:36

KABLA HUJAOLEWA-Mambo muhimu ya kuzingatia.

877 مشاهدة
0
34
تم نشره في 2022/01/02

#siriyamwanamkemkakamavu #chakula #tanzania #dar #arusha #ndoa #harusi Wapendwa kabla watoto wetu hawajaolewa tujaribu kuwafundisha mambo muhimu yanayowajia baadaye ili kupunguza matatizo mengi katika Ndoa zao. Ila kabla hujaendelea na video hii kumbuka, video hii na video zangu zote ujue kuwa, kila nachosema ni kile ambacho mimi nafanya, Jaribu au acha ni uamuzi wako mwenyewe, Sikulazimishi wala kuhimiza, bali fanya hivyo kwa uamuzi wako. Sipingi na sishauri Umpinge au kuacha matibabu yako uliyoandikiwa na Dr. wako. Kwa tatizo lolote litakalotokea, madhara au chochote kila ni ulikuwa uamuziwako mwenyewe. asante.. . Nifuateni Pia katika Instagram kwa Jina hili: INSTAGRAM: @siriyamwanamkemkakamavu EMAIL Adr: siriyamwanamkemkakamavu@gmx.de

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 9