المدة الزمنية 14:5

Acha Kiburi wewe Hata magufuli alikufa, Mbowe siyo Gaidi Mimi Siwezi Kuamini, Kesi zinatengenezwa

بواسطة Taifa Digital
262 548 مشاهدة
0
1.7 K
تعليقات - 407
  • @
    @eliajimmy95منذ 3 سنوات In the past I used to see you as a person who was favored by the rulers but very assertive 16
  • @
    @husseinmostafa256منذ 3 سنوات Umeeleweka sana, ni kweli wewe ni mtumishi wa Mungu, hii nchi ni ya watu wachache mzee, sisi wengine wapangaji hatuna haki kwenye hii nchi 48
  • @
    @eatlaweمنذ 2 سنوات German pastor Martin Niemöller said of the Nazis, “First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist. Then they came for the trade unionists, and I did not speak out—because I was not a trade unionist. Then they came for the Jews, and I did not speak out—because I was not a Jew. Then they came for me—and there was no one left to speak for me.” ....وسعت 1
  • @
    @linuskyando4155منذ 2 سنوات Ahsante Mchungaji, Nje ya Tanzania tutatafsiriwa vibaya
  • @
    @zachariamalley7076منذ 3 سنوات Nilifikiri kama mtumishi wa mungu ungefanya ibada ya kuomba Mh. Mbowe atendewe haki. Ni Mungu tu anajua na kuona kilicho mawazoni, akilini, midomoni na id="hidden2" class="buttons"> katika matendo ya usirini mwetu. Binadamu tunahisi na kuthibitisha hisia tunaohitaji mchakato wa maombi, uchanguzi na kisheria. Omba mtu wa mungu, mungu atie mkono hapo kwenye michakato, kama kuna hila, ishindwe, kwa ajili ya amani ya nchi yetu na watu wake wote. Omba mungu anyooshe mkono wake kuonesha njia njema. Usizungumzie masuala ya vifo Siri ya kifo hata wewe huijui ni Mungu pekee, ni kiburi pia kuzungumzia usilolijua kwa kuwa unapita mipaka ya kazi yako, mwache mungu aitwe mungu kila jambo linatokea kwa ufahamu wake na makusudi yake. ....وسعت 11
  • @
    @magellasaid3693منذ 3 سنوات Binafsi huchukizwa sn na siasa za jazba ambazo CDM ni km utamaduni wao na aina hii ya mtindo lengo huwa ni kuigombanisha dola na watu wke ili wahusika id="hidden3" class="buttons"> wapate madaraka, sasa viongozi wa mtindo huu kufanya hujuma ili kuwachafulia watawala ni kitu kidogo sn, sasa sidhani km ni busara kupiga kelele jmaa si gaidi watu waiachie mahakama muhimu itende haki tujue na asionewe ahukumiwe kutokana na kitakachojulikana kuonea ni dhulma haifai, lkn nitoe rai CDM lzm wabadilike jazba hazifai hasa kwa dola wataumia wao wenyewe, nani mkosoaji mkubwa km Zitto? Lkn huangalia nn anaongea ili asije ingia mtegoni lkn hizi dhihaka hasa kwa watawala hazifai twende kwa staha ili tusonge km taifa. ....وسعت 27
  • @
    @gasparmhapa1329منذ 3 سنوات ahsante baba kwa ujumbe mzuri. Hakika hiyo ni sauti ya Mungu. Mwenyezi Mungu wa mbinguni akutunze. 11
  • @
    @alphoncekagezi4950منذ 3 سنوات 1.Ikiwa Mh Mbowe ni gaidi na moyo ya washitaki wake inawashuhudia kuwa shitaka hilo sio la kubumba ! Basi mahakama ikimtia hatiani anyongwe hadi kufa! id="hidden4" class="buttons">
    2.Kama Mh Mbowe sio gaidi baali ametengenezewa kesi na washitaki wake kwa nia ya kudhoofisha kisiasa watakuwa wamefanya kosa kubwa mno na mkilazimisha kupa adhabu kuepuka mashaka yaliyo tanda ktk moyo ya watanzania basi nini kitafuata kumtia hatiani asie na hatia ! Washitaki wake Mh Mbowe sio chepesi kuiepuka ghadhabu ya Mungu.
    ....وسعت 11
  • @
    @geofreyjonas5403منذ 3 سنوات Ahsante mtumishi wa Mungu,muachieni Mbowe, CCM tunajichafua 15
  • @
    @deborahmgedzi7383منذ 2 سنوات Mungu Mwenyezi Akubariki Sana mtumishi Wake. Amina
  • @
    @khatibumpare6865منذ 3 سنوات Kama kweli hili lisemwalo kuwa mbowe ni gaidi Basi mungu simama upande wao lakini Kama ni hujma Basi mungu simama na mbowe 23
  • @
    @petermwanyondo5370منذ 2 سنوات Umeongea vizuri xna mzee mungu akubaliki
  • @
    @coolsinare8824منذ 3 سنوات Usiseme hudhani wanaweza kumpa kesi kubwa hivi kwa kusingizia huku ukijuwa wanaweza kusingizia kwa sbb wamewahi kubambikiza..ila kama Mungu aishivyo roho id="hidden5" class="buttons"> zote za viburi vitashushwa mpaka sifuri ili ajulikane Mungu yu hai kwenye taifa hili in the might name of JESUS ....وسعت 7
  • @
    @titusmoses7منذ 3 سنوات Kwa hili Mzee wa upako nakupa heshima yako. Hakika umefanya kazi yako ya kichungaji 8
  • @
    @amosmwanisawa2887منذ 3 سنوات "Mwenye masikio na asikie,Roho ayaambia makanisa!!!"
    Mungu wa rehema utuhurumie Watanzania,Mkono wa BWANA uingilie na uhukumu suala la Mbowe !!!
    Mungu mbariki Mtumishi wako MZEE WA UPAKO!!!
    4
  • @
    @erickjohn9282منذ 3 سنوات Mtumishi uwe mfano ata kwawale wa2mishi ambao wanajua ukweri lakin wako kimya ,mungu akulinde 12
  • @
    @emmanuelelam555منذ 3 سنوات Mungu hajawahi kumficha mnafiki naimani mungu ataweka wazi nigaidi au sio gaidi inauma kwafamilia pamoja nawafuas wake 4
  • @
    @florenciamanji8236منذ 3 سنوات Sema babayan hii nchi mungu afanye kitu tu! 4
  • @
    @athumaniyuba935منذ 3 سنوات Umesema Sawa. Mwenye akili ameelewa, kuwa umesema mbowe siyo Gaidi. Ni uonevu tu 19
  • @
    @patrickwatson8432منذ 3 سنوات Mhhh kwakweli nimeshindwa cha kuongea baba munvu akubariki sana tena sana neema ya bwana wetu yetu kristo ikuzukie na nulu ikuangazie mahara penye giza sina cha kusema zaidi ya ahsante uwe na maisha malefu ameen 2
  • @
    @hasaniyusufu1171منذ 3 سنوات mzee hakika mungu akulinde umeongea point mzee hakika mungu atalipa 2
  • @
    @stevenmlangai4798منذ 3 سنوات Baba wa upako Asante sana kwa hekima na kwa ushauri wako wa busara Sana unaoutoa kuhusu nchi yetu. 1
  • @
    @josephmsengi762منذ 3 سنوات Mzee wa upako hapa umenena Mimi naomba Roho Mungu awe juu Yako akupe Roho ya hekima na ushauri piga kazi 3
  • @
    @keffasleo7067منذ 3 سنوات Baba mtumishi wa Mungu umeeleweka vema, kama kweli kabisa Mbowe ni gaidi basi Mungu mwenyewe atajibu. Vinginevyo kama walimbambikiza, heri wakatubu mapema wote wanaohusika kabla jua halijachowea. 1
  • @
    @cairoshampeny2743قبل 9 أشهر mzee umeongea kitumishi sana MUNGU akubariki
  • @
    @benjaminnestory6600منذ 3 سنوات Asante sana mzee wa upako mimi binafsi nimekuelewa
  • @
    @lazackbrown1645منذ 3 سنوات Mungu wa mbinguni wewe Ni hakimu wa haki .usiache hili lipite nakusihi bwana wa majeshi ingilia Kati kwa hili la mbowe ..nchi imeumizwa wananchi wana majeraha mazito . 18
  • @
    @jerryjonas7427منذ 3 سنوات Pia watumishi wengine wangejitokeza kukemea hii dhuluma, haipendezi hata kwa Mungu 9
  • @
    @ezekielraphael5998منذ 3 سنوات Kama Mungu aishivyo atatoa jibu na atalipiza kisasi kwa wote wenye dhuluma n kiburi cha uzima cha kuwatesa binadamu wenzao kwa vyeo walivyopewa km dhaman.Amen
  • @
    @rosekimario4976منذ 3 سنوات Walevi uwa tunaongea point tena sana big up muhuni mwenzangu
  • @
    @pastorhenrymashiku4178منذ 2 سنوات Mzee Kuna sehemu ukitulia ktk hekima zako:- huwa unakuwa bora sana. Hii imekaa sawa Sana.
  • @
    @ibrahimmlisy5786منذ 3 سنوات Nashangaa kuona viongozi wengine wa dini kulinyamazia hili Jambo, kiuhalisia huu ni Moto wa pumba ambao unawaka chini kwa chini, cku ukilipuka hakuna anaebaki, id="hidden11" class="buttons"> kuweni wawazi acheni kujipendekeza kwa watawala, M/Mungu tuangalie Waja wako, legeza nafsi za watawala wasimame ktk haki, wape ujasili viongozi wa dini kukemea uovu, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki viongozi wetu uwaongoze ktk haki. ....وسعت 31
  • @
    @mshindimshindi9120منذ 3 سنوات You're talking the truth.Mbowe is not a terrorist 8
  • @
    @msafirimatingo4447منذ 3 سنوات Mungu akubark sn umesema ukweli mtupu.weng hawalion hilo kuwa ni tatizo kubwa. 1
  • @
    @rameckgototv4397منذ 3 سنوات Dah mzee umeongea mpaka machozi yananitoka 7
  • @
    @jerryjonas7427منذ 3 سنوات Ni vizuri apelekwe Mahakama za kimataifa hapo haki itapatikana 1
  • @
    @festoasanga5572منذ 3 سنوات Kila unacho kiongea ni point mh daaaaa ilove you so much 2
  • @
    @omariramadhan4813منذ 3 سنوات Mimi mwenyewe ni mwana ccm, najiuliza sana. Kama kwel ni gaid afungwe, ila kama si gaidi itatuchafulia sifa kubwa ya nchi yetu kujivunia tanzania yetu tanzania yetu itakuwa na doa 9
  • @
    @aminatanzanya7475منذ 3 سنوات Wenye akili tumekuelew sana mtumishi wa Mungu hakika
    malip ni hap
    4
  • @
    @michaeldotto3859منذ 3 سنوات Mungu akubariki Sana mtumishi wa mungu
  • @
    @bornkilla6173منذ 2 سنوات MUNGU akutunze sana Mtumishi wa MUNGU
  • @
    @gangmore9091منذ 3 سنوات Tanzania nchi y wahuni watu wapo wengi jela kwa kubambikizwa kesi Zanzibar kila uchaguzi watu wanauliwa kubakwa kutiwa ulemavu Tanzania nchi y wahuni watu wanapigwa risasi na watu wasojulikana 12
  • @
    @suzypaul4559منذ 3 سنوات Huyo Mama kavirugwa tatizo anaburuzwa kama frush
  • @
    @innocentmtashobya1257منذ 2 سنوات "kiburi cha nn?"mpaka nimetokwa na machozi,ni sauti ya mungu hakika..wenye kuckia na wasikie sauti mungu ayaambia makanisa
  • @
    @abdurahfaris8438منذ 2 سنوات Nimehuzunika sanaaa kusema kwel mzee wa upako mungu akulinde umenifanya niwe na mood mbaya baada ya kusema haya kwann sijui nimeitazama hii video
  • @
    @mubarakanyamihasi881منذ 2 سنوات Mzee unaakili nyingi maneno yako kwa mtu mwenye hofu ya mungu ni tiba tosha.
  • @
    @hekimaandindilile4000منذ 3 سنوات Yani apo anamwambia rahisi ache kiburi Cha kutumia jeshiiii hahahaha unakili Sana mzeee anaacha kushugulikia mifumuko ya bei anawai ugaidi 1
  • @
    @ahadiandongwisye6041منذ 3 سنوات Mungu akubariki umesimama katika zamu yako.
  • @
    @marykibwana9413منذ 3 سنوات Mzee wa upako nigawie hekima na busara, hii kama mfalme Suleiman wa kwenye Biblia.Ungekuwa rahisi kukuona ungenipunguzia hekima Mungu akubariki. 2
  • @
    @ynyynyynyمنذ 3 سنوات Umeongea vyema, miaka 60 umeona mengi, kifo kipo, amua leo
  • @
    @doktabalakakabaka9742منذ 3 سنوات Mungu wewe ndiye hakimu wa haki mtetee mbowe
  • @
    @samuelngogo5572منذ 3 سنوات Kheri umeongea mzee wa upako barikiwa sana 4
  • @
    @husnamanase3943منذ 3 سنوات Malipo nihapa hapa mbinguni mahesambu mungu ibaliki Tanzania tunako elekea mungu ndoanajua tusipo kua makini 25 sijui mungu atubaliki amin
  • @
    @patrickwatson8432منذ 3 سنوات Kilicho mtesa yusuph mpaka kuuzwa utumwani na hata mungu akamuinua kuwa wazili nikuongea ukweli daima ukweli unamuwwka mtu kuwa hulu tena hulu kweli ogopa kifia dhambini bola kufia ukweli ahsante 6
  • @
    @jeconiajosia1999منذ 3 سنوات Mungu ndiye mhukumu wa haki na kila moja atasimama mbele ya mungu kujibu alichokifanya!!na kumbuka kila anayefanya uovu kengele ya moyo wako inasemaje jiulize!!aonaye za ndani kabisaaa! 5
  • @
    @ibrahimisaack4400منذ 3 سنوات Akili kubwa sana umetumia Mzee nimekuelewa .
  • @
    @christophermika6968منذ 3 سنوات UMEONGEA KWA KIWANGO ,MUNGU AKUPE NEEMA DAIMA 5
  • @
    @marumbamgeni4796منذ 3 سنوات Kwa kila mwenye moyo wa NYAMA inaumiza saana 1
  • @
    @rowlandmasawe8251منذ 3 سنوات Kipimo kile tunachowapimia wengine tutapimiwa vizuri kabisa
    Asiyetenda haki apo kati ya alowekwa na anayeweka atalipwa akikoswa yeye hata kizazi chake
    TIME TELLS ALWAYS
  • @
    @akhitalibsheha2434منذ 3 سنوات Hapa ndo utajua ukristo na viongozi wake wana nguvu tz na nasema hili si sababu ya udini laa..kumbukeni viongozi wa kiislamu wamekaa miaka takribani nane id="hidden17" class="buttons"> masheikh kimyaaaa Leo mzee wa upako ametuliaa anatoa point zake na zinaeleweka ....وسعت 8
  • @
    @tusekilefransi9899منذ 3 سنوات Ninachokiamni mbowe angekua gaidi kipindi cha magufuri angekua jera mda mrefu niwakati unapita acha mungu ajitwarie utukufu
  • @
    @vicentrogers9465منذ 3 سنوات Mtumishi unacho ongea uko sawa ila mbowe kichwa ngumu yote hayo Keshambiwa lkn hakusikia
  • @
    @danikilawe7498منذ 3 سنوات Mungu atashughulika na wote wenye viburi na wenye kupora haki za wengine ,, Duniani tunapita tu mwisho wetu ni udongo kwa udongo,,, uongozi ni dhamans tu ipo siku utatoa hesabu ya yote. 4
  • @
    @priscambwambo1030منذ 3 سنوات Big up mzee wa upako .ulitenda nini duniani??