المدة الزمنية 6:36

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI:jua mbinu tano za kuboresha ufugaji wa kuku wa kinyeji

بواسطة MKULIMA SMART TV
4 345 مشاهدة
0
24
تم نشره في 2021/08/06

UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI.Njia tano za kuboresha kuku wa kienyeji A.KWA NINI KUKU WA KIENYEJI? 1. Wastahimilivu wa magonjwa lakini ni muhimu wakikingwa na magonjwa ya kuku kama mdondo, ndui ya kuku n.k ili kuweza kuwaendeleza. 2. Wana uwezo wa kujitafutia chakula ardhini. 3. Wana uwezo wa kuatamia mayai, kutotoa na kulea vifaranga na ustahimilivu wa mazingira magumu kama ukame, baridi n.k 4.Nyama na mayai yake vina ladha nzuri kuliko kuku wa kisasa.(PATA SUPU YA KUKU WA KIENYEJI ILI UTHIBITISHE) 5. Wana uwezo wa kujilinda na maadui kama mwewe n.k . Pamoja na sifa hizi ni muhimu muhimu kuku hao wakapewa matunzo mazuri, wakawekwa kwenye mabanda mazuri, wakapewa maji na chakula cha kutosha. JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI NJIA YA KUPATA KUKU WENGI WA KIENYEJI KWA MUDA ... JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI HATUA ... SHAMBANI: UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KAMA MRADI Ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili): kanuni bora za ufugaji UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KWA NJIA ZA KISASA : KUKU WA KIENYEJI: Mtaji mdogo ila pato ni maradufu Fomula ya ufugaji bora wa kuku wa kienyeji UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KIBIASHARA Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija Utajiri uliojificha ufugaji wa kuku wa kisasa aina za kuku wa kienyeji ufugaji wa kuku wa kienyeji wenye tija pdf 2021 soko la kuku wa kienyeji ufugaji wa kuku wa kienyeji singida mchanganuo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji bei ya kuku wa kienyeji ufugaji wa kuku kienyeji kenya utajiri wa kuku wa kienyeji #mkulimasmart #shambadarasa

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 18