المدة الزمنية 30:10

Padre Rwejuna: Popote ulipo tengeneza Kalkuta yako/ Kuwa Mkarimu/ Tupeane maua tukiwa hai.

بواسطة Radio Mbiu
5 177 مشاهدة
0
39
تم نشره في 2021/10/01

Ni homikila iliyotolewa na Padre Almachius Rwejuna wa Jimbo Katoliki la Bukoba katika Misa takatifu ya Jubilei ya miaka 25 ya Upadre kwa Padre Achilleus Rwehumbiza Paroko wa Parokia ya Ngarama Jimbo Katoliki la Bukoba Misa iliyofanyika nyumbani kwa kijiji cha Kantare Parokia ya Mugana. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 6