المدة الزمنية 5:22

ZIJUE TAFSIR ZA NDOTO YA NG'OMBE MBUZI AU NYOKA.

بواسطة JITIHADA ONLINE TV
23 688 مشاهدة
0
176
تم نشره في 2019/11/29

+255657990471 Dr hud hud

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 64
  • @
    @saeedsaeed7381منذ 5 سنوات Masha Allah Doctor hud kwa kutufafanulia Elmu ya ndoto na mashakeel yao Ahsantum Sheikh 1
  • @
    @twariiqutv5171منذ 5 سنوات Allah atuepushie ambaye hajachukua annabat ajitahidi yatenda maajabu saana na inafanya kazi shap saana 1
  • @
    @hudhaimaissa3151منذ 3 سنوات Shukraan jazaakallah.imejib nnavotaka Dr.
  • @
    @jasminali5921منذ 4 سنوات Subhanallah huwa naota Mara kwa Mara nafukuzwa na nyoka shukrani sana nimejua tafsir yake
  • @
    @sarahronoh540منذ 3 سنوات Waleykum Salaam Waramadhulillahi Wabarakatu ustadhi
  • @
    @ireneelishaalphayo6748قبل 8 أشهر Naomba nisaidie mm nimwanaume nimeota mbuzi anachinjwa na alivyokuwa anachinjwa nikawa napata maumivu makubwa
  • @
    @fatmafuad6086منذ 2 سنوات Do asalam aleikum nimeota mbuzi akiwa chooni tena anatoka machozi ya damu mbuzi mweupe
  • @
    @ibtisamasaleh4413قبل 9 أشهر Ukiota mbuzi anakumwagia shahawa mkononi
  • @
    @lydiamutheu3924منذ 3 سنوات Kakika nimesubuka sanitakutafuta na mungu hakuzindishie kuzijua nakuzielewa zaidi niko mbali sijui wapatikaniwa sehem gani
  • @
    @mohammediddmdede9610منذ 2 سنوات Asalamu alaykum Dk
    Nimeota nanunua mbuzi mwenye mtoto
  • @
    @mwanahamisially5234منذ 5 سنوات Kweli jman pamoja na dawa zot inada pia ndo Jambo lakwanz 2
  • @
    @djyondergigi1027منذ 3 سنوات A aleikum Nimeota mbuzi nime mdungu na alikufa mbuzi tena mwenyewe ni kipofu . Na Rangi mweupe na rangi nyingine kama tatu . Ndiyo nini Shukran
  • @
    @angelmacha8278منذ 3 سنوات Na ukiota ww ndo unamkimbiza ng'ombe 1
  • @
    @asiamct4025منذ 4 سنوات Doctar nimeota mwalim wangu kanunua mbuzi alafu kazulumiwa
  • @
    @nasmanasri2673قبل 8 أشهر Shekhe nimeota nmebeba mbuzi na kumleta nyumbani kwangu tena nikiwa na furaha
  • @
    @kamenemulu8561منذ 2 سنوات Niliota ngombe hananifukuza bt hakunipata niliingia mfunguni mwa kitanda
  • @
    @neemarichard1256منذ 4 سنوات Nilota ngombe yupo juu anaelea huku hana miguuu
  • @
    @fatemaissaissafatema6310منذ 4 سنوات Salaam na ukiota asali na vitunguu main? 1
  • @
    @mynamemanka976منذ 2 سنوات Kaka Mimi nimeota nmekosana na boyfriend wangu, nikilia mbuzi wakaja kuni bembeleza
  • @
    @peterwamwea5738منذ 2 سنوات nkusota mbuzi zikikuja qwa shamba nliokua
  • @
    @kishumwinairowa371منذ 3 سنوات Doctor nimeota nachunga mbuzi wale mbuzi wakawa wamepote baadae wakawa wamepatikana wachache
  • @
    @fetychina7956منذ 4 سنوات Niota nyoka Malaysia nyingi tu namwisho wa siku nyoka aliingia ndani sijui aliingiliawapi nika muua 1
  • @
    @saadahassan1437منذ 4 سنوات Niliota nyoka yupo juu ya kabati mkubwaaa nikimuangalia anajificha tn ni usiku nilishtuka ata kuwasha taa naogopaa 1
  • @
    @jobmutua2204منذ 2 سنوات Dr. Mimi niliota nikichinja mbuzi. Nilichinja mbuzi mbili Kwa kukata shingo na kutoa ngozi, wa tatu akanishinda kumshika vizuri ni mkate shingo,,, pls nisadie nijue maana yake
  • @
    @josephdullah3766العام الماضي Nimeona ndoto navuka mto nikiwa na mbuzi na ng'ombe pamoja maana yake nn
  • @
    @user-me6gn4gi4vمنذ 4 سنوات Shekhe mmi niliota ngo, mbe wengi wana kimbiza watu na mmi pia nilikuwa hapo pia mmi nakimbia
  • @
    @catherinenyawira865منذ 2 سنوات Niliota nikiwa tume imba mbuzi na tukashija tunaenda kuuza . .maanake nini
  • @
    @boramwanjemi2216منذ 2 سنوات Asallam wallekumu ukiota mbuz wanapita halafu unawarusha madong'o ili wasile mimea, Tena mbuz hao kunamtu ndie amewafungulia wewe nikama waseedia wasile hapo kwenye mimea.
  • @
    @annaharry4997منذ 4 سنوات Mimi huwa naota Mara kwa Mara napigana na ng'ombe, siku zingine namshida Mimi na siku zingine namkimbia alfu najificha, namba nisaidie maana yake 1
  • @
    @marynyange8478منذ 4 سنوات Nimeota nikila maguu ya mbuzi hii yamaanisha nini shekh?
  • @
    @miner.johnmasuka7621العام الماضي Dk nimeota mbuzi hana kichwa tafsiri yake nini
  • @
    @mchambuzi9089منذ 3 سنوات Asante. Je ukiota umekimbizwa na ng'ombe, na ww ukafanikiwa kuingia nyumba flan nakujifungia ndani inamaanisha nini?
  • @
    @peterwahome489منذ 2 سنوات Na ukiota nyoka mweusi mkubwa unataka kumuua then anaona Yule mnyama wa kuishi Kwa mchanga anamfata kumla na kuzama ndani ya shimo na hivo ndivyio atapotea maana take ni gani
  • @
    @agapenkya4148منذ 4 سنوات Ukiota kondoo mmweupe amekuja nyumbani kwako
  • @
    @caleenmsabilwa4146منذ 4 سنوات Jmn mm huwa naota ng,ombe Mara nying in SK niliota Niko kwenye vita sasa ioe nakimbia mbele nikakutana na ng,ombe weng nikasbl wakapita ndo na mm nikapita id="hidden4" class="buttons"> sielew non maana yake SK nyingne nikaota watu wanakuja nyumbn kama kutoa mahali wapo na NGO,MBE mkubwa mnene na m sijaolewa pk Leo sijui non maana yake ....وسعت
  • @
    @fadhilinzota3479منذ 3 سنوات Nimeota nipondani haponje panazizi lang' ombe nisubiri nduguyangu anapika ugali tule mm niposebleni kwenyebusati nimepumzika
  • @
    @colethampepo5280منذ 4 سنوات Nmeota mbuzi amechomwa (ndafu) maana yake n nini
  • @
    @paulinarungu3328منذ 3 سنوات Mimi ninaota Mara kwa Mara kuwa mbuzi wangu kazaa mapacha na huyo mbuzi ni kweli ana mimba na mm pia ni mjamzito maana yake ni nn
  • @
    @malususiri4889منذ 4 سنوات Ukiota unakata kuni mlimani nini maana yake
  • @
    @naomilucas3229منذ 4 سنوات nimeota: ng'ombe katoka kwenye biaashara yangu katokomea sikumuona Tena,, ila hapohapo nikaota nyoka weusi mkubwa na mdogo wameingia ndani ya frem yangu ya biashara, naomba jibu
  • @
    @sharifatabook4697منذ 4 سنوات Na ukiota ukikimbizwa na ngombe alafu wewe unapanda kwa mlima ngombe anapita nn maana yake?
  • @
    @boliboembe6212منذ 3 سنوات Doktari ukiota mbuzi amezaa mapacha nini maana yake
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman1596منذ 4 سنوات Hata panya kula nguo zako laivu sio nzur mama anasemaga 1
  • @
    @uthmanihimbawe5244منذ 3 سنوات As/alykm niliota ndoto niumeua nyoka nikamkatakata,Nini tafsir yake?
  • @
    @professormpakistanimweusi5766منذ 4 سنوات Na Je Sheikh mtu ukiota unafuga Mbuzi na wanazaa wapo wengi tu katika zizi. Hii nayo ni Vp Sheikh?????0
  • @
    @martapatrick2687منذ 3 سنوات Shekhe Mimi nimeota ng,ombe mbuzi wanakamuliwa maziwa mengi nawana toa hayo maziwa kila ng,ombe anakamuliwa ndoo moja
  • @
    @user-ij2bf8of8hمنذ 5 سنوات Asante sheikh kwa tafsiri za ndoto. Sheikh mimi niliota nakimbinzwa na nyoka na alikuja na mtu lakini sikumjua huyo mtu na mwisho akaningata.nifanye nini sheikh tafadhali namba kujua 1
  • @
    @rumaisaabaleli3218منذ 4 سنوات Shekh nimeota punda ananikimbiza bdae amenipiga alafu akanimeza
  • @
    @severiningungulu1290منذ 4 سنوات Docta nimeota ng'ombe anafukuza sana watu japo mi alikua hanifukuzi lakini nilikua nijificha mwenyewe maanake nn