المدة الزمنية 3:9

Tanzania : Samia aeleza mbinu mbalimbali za ukuzaji uchumi

بواسطة VOA Swahili
284 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/04/23

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atoa muelekeo wa serikali akieleza mbinu mbalimbali za ukuzaji uchumi wakati akilihutubia bunge la nchi hiyo kwa mara ya kwanza tangu kuchukua urais, kufuatia kifo cha hayati Rais Magufuli. Originally published at - https://www.voaswahili.com/a/tanzania-samia-aeleza-mbinu-mbalimbali-za-ukuzaji-uchumi/5863510.html

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0