المدة الزمنية 51:39

WAZUNGU WAAMUA KUFUNGA NDOA NA MBWA, DUNIA HII YAISHA

بواسطة Robert Tv Tanzania
25 394 مشاهدة
0
132
تم نشره في 2021/07/03

Please SUBSCRIBE to Robert Tv Tanzania official YouTube channel, Anointed Man Of God Pastor Robert Raphael: /channel/UCx_7vLZHI5UBm__PjE-kuvQ #RobertTv #RobertRaphael #PastorRobertRaphael

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 72
  • @
    @siliviaiginas52153 years ago Namushukulu mungu kazi yako ni nzuri niriamini
  • @
    @maryamayitsa61813 years ago Bwana yesu asifiwe Askofu, naomba utusaidie kwa maombi ya toba na uponyaji ,natamani kufika ila uwezo sina, naamini mbingu zitanena mema, na kutazama nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪. 1
  • @
    @rahabnkya82763 years ago HALELUYAAA HALELUYA HALELUYAAA HALELUYA HALELUYAAA HALELUYA HALELUYAAA HALELUYA kwa kupona sugar kwa jina la Yesu. Inakuweje sababu sukari ni tatizo na ikiwa ni ya kuzaliwa na tayari watu wamekufa na wengineo wamepoteza viungo . ...
  • @
    @rahabnkya82763 years ago Ninamshukuru Mungu, mimi ninakufuatliaga kwa ytubu mara kwa mara. Unanibariki mtumishi wa Mungu mimi Niko Ars.
  • @
    @everlinekemunto2673 years ago Asante sana neno liendelee,na Mungu akupaliki mtumishi
  • @
    @leahdaniel2713 years ago Shetani apigweeeee! Oooh haleluya nafurahi Sana kuona matendo makuu ya MUNGU anayoyatenda Kwa watu wake haleluya haleluya.
  • @
    @leahdaniel2713 years ago Eee MUNGU inua watenda kazi zaidi injili yako ienee kote, Barikiwa sana mtumishi
  • @
    @maryamayitsa61813 years ago Askofo nita jitahidi nitoe, natamani uponyaji,nami nikashuhudie ukuu wa mungu.
  • @
    @roselineongera753 years ago Mungu wangu umeonekana kwa kanisa hili nami naomba uonekane ndani yangu
  • @
    @rahabnkya82763 years ago Mtumishi Robert tunasubiri kufungua kanisa lako kaskazini huku asante
  • @
    @kavirajanine44823 years ago Mimi tumishi nipo arizona nashindwahata kazi juu yamaonjwa Mimi nili po na nitatoa shukrani
  • @
    @violetnyamokami3853 years ago Niko saudia Arabia nakufuatilia sana mjungaji niombee uokofu 1
  • @
    @fediruben50093 years ago Iko siku nitakuja Kahama mpk Karagwe karibu Sana
  • @
    @stellahokworo65613 years ago From Saudi Arabia niko ndaaaani ya kaanani Bible Church
  • @
    @pelusiemanueli69263 years ago Oyooo kama na wew ni mtu wa karagwe gonga like tujuwane hapa
  • @
    @ramadhaninyangasa72753 years ago Kwakweli nimtihani fanyeni utafiti muujue uislamu, mnaliwa hamjijui
  • @
    @rahabnkya82763 years ago Safiiiiii sana wazungu walileta injili Africa ni kweli lkn wakabeba ba madini lkn Leo tunawahubiria injili ili wasipokonye marini zetu na kutufanya mabwege na maskini, lkn neno HAI lilitufaa hakika YAKEEE tukubali tu.
  • @
    @lelozaina87113 years ago Weusi wao wamependa kuiga via wazungu hawana mila na desturi sasa weusi wamependa higa mwachani hiyo tabia ya kuiga
  • @
    @tuliamakombe16233 years ago Hii ni laana kabisa toka kwa wazazi wake na familia yake yote Tena wwshindwe katka Kuna la yesu mungu awalaan kabisa
  • @
    @rahabnkya82763 years ago Kabisaaaaa hujakosea sababu hata barabarani masokoni vilabuni kiinjili inapigwa tu bila aibu. Bahati mbaya matumizi ya bangi na bombe ndizi zimeharibu tena vijana wenye vipaji hadi wamekuwa taahira ba Elimu kudumazwa.
  • @
    @kadijahajali39183 years ago Hee hatari kufungwa ndowa na mbwa mtihani mkubwa huo
  • @
    @vinuskalonga46563 years ago Mtumishi, nafikiri ujifunze tena Neno la Mungu. Ujue Upako tofauti na Mafuta ya kuponya, kufungua watoto wa Mungu kwa karama tofauti, na kwa njia tofauti zilizotumika kibibilia. Inasikitisha na kuaibisha ukristo, kuona unakandia watumishi Wenzio. Hiyo unayohubiri ni kuhukumu watumishi ambao hujui Mungu amewaambia nini. Mungu anasema anayehukumu naye kesha hukumiwa. Angalieni sana munaogawa kanisa la Mungu, kwa kujivutia nyie wenyewe, ili mupate, waumini wengi kuliko wanaotumia hivyo wanavyotumia. Mungu alisema atafanya kanisa lake liwe moja. Sasa wewe ni mfanya kinyume, na Mapenzi ya Yesu. Unatenga kanisa la Mungu. Yaweke maneno yako vizuri ili yawe yakufundisha watoto wa Mungu. Sio kutukanisha Watumishi wenzio. ...
  • @
    @hassanalbashir28913 years ago Nyie watu mumesomea wapi huu utapeli hata hamna haya😆😆mchungaji dunia ina mwisho ujue wacha tamaa ya pesa.
  • @
    @rahabnkya82763 years ago Mchj Robert maliza ka Visa nguvunza giza huko karate na mikoa jirani wako kama Corona tu WACHAWI wametesa watoto na vizazi vingi jamani. 1
  • @
    @rahabnkya82763 years ago Mtumishi wa bwana ombea Corona isitunyemelee Sisi ni WAKUSHI, YESU NI WETU ALIKIMBILIA MISRI KUJIOKOA NA. MKONONWA HERODE PAMOJA NA WAZAZI WAKE.
  • @
    @rahabnkya82763 years ago Sasa mama kuna mengi duniani, MBWAA aonaye awa mkwe,.lkn ujue Yesu anayaona yote na Mungu AKULINDE BIBLIA Haswaaaaaaa inakataza yote kwa hivyo usipowaza sawasawa nakwambia mlango ni mpana wa waovu na ule mwembamba ni wa wachache. EEEH Mungu sikia kuomba kwetu pia. ...
  • @
    @mayrfrimi47593 years ago Mtumishi Covid haiishi, itabaki kama mafua, endelea na utumishi acha kusubir Covid wakati Covid haisubir mtu ni kama siku za tarehe, huwa hazisubir bali zinasonga mbele na wewe pia songa mbele pls.
  • @
    @rahabnkya82763 years ago Soma BIBLIA neno Marko 16 na 17 utayakuta yote. Pill SOMA kitabu cha TITO chote. 1
  • @
    @hassanalbashir28913 years ago At least huyo mwasema ni Mkenya amejaribu kucopy but pia ako na accent mbili ya kikuyu na Luhya.hamuwezi kutuchezea akili zetu
  • @
    @benterchepngetich53403 years ago Out of the content,sioni penye mzungu anaoana na mbwa? 2
  • @
    @kavirajanine44823 years ago Namimi niombee ninamagonjwa yaroho
    Kupumua nashindwa mamba ile
    602 461 9691
  • @
    @kavirajanine44823 years ago Ile nikweli ukuni sodomo mare cami mutuombee sana mtumishi
  • @
    @rahabnkya82763 years ago SASAIV umeulizwa, ukifanikiwa utatoa nini kwa bwanaaaa. Ndo swali bishop Robert amekuuliza wewe mgeni wa Denmark mtanzania mwenye shamba la DHAHABU. UFANYE KADRI YA ANANIA NA SAFIRA. ?!!!!??
  • @
    @hassanalbashir28913 years ago Drama tupu hapo upuuzi tu then wanatumia Islamic names ndio waconvince waislamu eti hakuna cha America hapo wote vilema hao wjinga wameishi USA 10 yrs and they have very ugly accent how did they get there?ghasia!!!😡the father also can't pronounce the word YouTube well😅eti yutubu😀😀😀🤣mzee kula pesa zao na wewe ujue Mungu yuakungoja. ...
  • @
    @maryamayitsa61813 years ago Bwana yesu asifiwe Askofu, naomba utusaidie kwa maombi ya toba na uponyaji ,natamani kufika ila uwezo sina, naamini mbingu zitanena mema, na kutazama nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪.
  • @
    @maryamayitsa61813 years ago Askofo nita jitahidi nitoe, natamani uponyaji,nami nikashuhudie ukuu wa mungu.