المدة الزمنية 4:6

Seven pounds ya Will smith 2009 (Movie Review) swahili virsion

بواسطة Culture storiez
245 مشاهدة
0
9
تم نشره في 2021/06/03

Ifahamu seven pounds ya will smith (2009) movie inamuelezea smith akiwa na hatia ya kusababisha vifo vya watu saba kwa uzembe wa makusudi akiwa anatumia simu barabarani HUKU akiendesha gari, kwa hatia hiyo smith anaamua kulipa fidia ya nafsi zote za marehemu alizozipoteza siku ya ajali, sasa atalipaje? Tizama vionjo vya muvie hii kisha acha comment yako hapa chini....usisahau ku SUBSCRIBE

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0