المدة الزمنية 23:16

Shuhudia Live Rais Magufuli Alivyompokea Rais wa Misri, Mizinga Ilivyopigwa

بواسطة Global TV Online
361 639 مشاهدة
0
805
تم نشره في 2017/08/14

Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais John Pombe Magufuli kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Amewasili kwa ndege maalum ya serikali ya Misri na kupokelewa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 109
  • @
    @bashirumkono208منذ 7 سنوات hakuna linalofanyika bila faida na hasara hongera mweshimiwa Rais 2
  • @
    @phaustaemma3327منذ 7 سنوات Mapovu yanawatoka hamchangii hata mia nzuriii makamandaa 1
  • @
    @deadcrushمنذ 3 سنوات Picha- sifuri. Sauti- sifuri. ilikuwa siku nzuri na maalumu kwa taifa.
  • @
    @haulefrancis2862منذ 5 سنوات Samahani misri imepata huru 1922 au 1952
  • @
    @rashidmoche8709منذ 7 سنوات karibu rais wa nchi yenye nguvu kijeshi africa ,middle east na Arab league baada ya uturuki. 3
  • @
    @dibodiboo1904منذ 7 سنوات Ache ujuha huyo anae tangaza misiri haina wakazi milion 9 ina wakazi milion 90 ni nchi ya pili yanye wakazi wengi barani africa bada ya naigeria yenye watu milio 140 na
  • @
    @scayzuu9609منذ 7 سنوات KWELI BINADAMU HATUNA SHUKURANI YOTE ANAYOFANYA RAIS WETU UNAYABEZA ILA TUTAMKUMBUKA.RAIS WETU CHAPA KAZI,KWANI TOKA U.EINGIA MADARAKANI HUJAENDA KUOMBA MISAADA WAO WANAKUJA WENYEWE 6
  • @
    @suleimanmohammed5344منذ 7 سنوات Mtangazaji anasema kwa mujibu wa takwimu ya sensa ya 2015 Misri ina watu milion 9..????? Ni tisa au tisiini? 9 au 90? 2
  • @
    @mrsdully1613منذ 7 سنوات Huyo ni mkuu wajeshi la misri sio raisi wao walomchagua 2015 muhammad mursi washamuweka jela kwakua yy ni raisi asopenda rushwa N. K hawajakubaliananayo id="hidden3" class="buttons"> akataka awekwe ya hilo liabdulfataha ndo alofanya mpaka misri watu kuuana mpaka dkk hii watu wapo taabani sijui kafatann Tanzania muwe makini asijeanzisha mauaji nahuko jmn from+968 ....وسعت 5
  • @
    @edwardjoseph5297منذ 7 سنوات wakati niko shule ya msingi nilifundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru Africa ni Ghana na ilipata uhuru Mwaka 1957/8 .
    hiyo Mistri 1952 id="hidden4" class="buttons"> duuuuuuh.
    au mwalimu wangu na vitabu vya kipindi hicho ni bomu
    ....وسعت 2
  • @
    @halimambwego8287منذ 7 سنوات Ahsante global TV online kwa habari hii
  • @
    @naftalichacha5393منذ 7 سنوات that is wastage of resources. kwan angepokelewa bila hayo marisas kungetokea shida
  • @
    @suleimanali9939منذ 7 سنوات maisha mtachezeshwa ngoma kwa ujinga wenu 1
  • @
    @danieledaniel5491منذ 7 سنوات matumizi mabaya ya mizinga!! kwani huyo rais kaifanyia nini tanzania? 4
  • @
    @user-lt2tc2ry4tمنذ 7 سنوات Rajum huyu hata akiwa na pesa sisi tutazisikia tu katika t v matarumbeta oyeeeee 2
  • @
    @michaelkaruna5239منذ 7 سنوات hamtaki kufanya Nazi ndio maana mnayaona maisha magun magufur Yuko saf 2
  • @
    @badboy2577منذ 7 سنوات Huyu hana hata pesa ameiletea nini tanzania?Mnampa heshima kubwa wakati yeye ni rais mwanajeshi ambaye nchini kwake kumeshuhudiwa visa tofauti vya uongozi visivyoridhisha.Amekuja kumfundisha nini magufuli? 2
  • @
    @herinmtaita9349منذ 7 سنوات pamoja mzeee wenye kutaka maendeleo wote lazma watakufuat tu big up RAIC wetu
  • @
    @mahonakatani5181منذ 7 سنوات kikubwa mtuboreshee mazingira ya kilimo,biashara na ufugaji,,,,mizinga haituhusu sisi
  • @
    @ramadhanndemeye6932منذ 7 سنوات Watanzania tume kuwa kila kitu ni kupinga na hiyo ni dalili ya ushamba 3
  • @
    @lazarohamisi5202منذ 7 سنوات ASENTE kwa kuja president wa Misri.,huo ndo utamaduni wetu 1
  • @
    @shukranikakati8887منذ 7 سنوات unajuwa wat mnazodoa sidhan mkipewa uongoz ata wek kamamtafikisha
  • @
    @ramadhanndemeye6932منذ 7 سنوات Bahati mbaya siku hizi kila mtu Ana sim Ana weza kusema utumbo wake wengine hawana hata uwezo wa kufikiri na hiyo ndio shida
  • @
    @donaldmwangasa852منذ 7 سنوات Mtangazaji umekosea bhana,by 2016 tu Cairo peke yake ilkuwa na 12 ml people so population ya Egypt ni 90 Million na si 9 million kama ulivyopotosha. 2
  • @
    @dibodiboo1904منذ 7 سنوات Misiri ndio nchi ya kwanza 1 barani africa kwa nguvu ya kijesh na duniani ni ya kumi na nne 14
  • @
    @sazafsuma7542منذ 7 سنوات sisi mizinga wala hatuna mpango nayo sema tu viongozi wetu kupenda sofa zakijinga 5
  • @
    @jumadea1251منذ 7 سنوات ameleta hela nini? mbona kapewa heshimu kubwa sana
  • @
    @dibodiboo1904منذ 7 سنوات Huyu rais wa misiri abdul fatah cc ni dikteta amependuwa srekali ya Mohamed mursi ilio chaguliwa kwa halali na wananchi wa misiri na ailifanikiwa kumpenduwa id="hidden6" class="buttons"> Mohammed mursi kwakukwa yeye alikuwa mkuu wa mjeshi kwa sasa misiri inaendeshwa kijesh jesh sasa jiulizeni maswali amefata nini tz majibu mutapata ....وسعت
  • @
    @mrsdully1613منذ 7 سنوات Huyo ni mkuu wajeshi la misri sio raisi wao walomchagua 2015 muhammad mursi washamuweka jela kwakua yy ni raisi asopenda rushwa N. K hawajakubaliananayo id="hidden9" class="buttons"> akataka awekwe ya hilo liabdulfataha ndo alofanya mpaka misri watu kuuana mpaka dkk hii watu wapo taabani sijui kafatann Tanzania muwe makini asijeanzisha mauaji nahuko jmn from+968 ....وسعت 5
  • @
    @edwardjoseph5297منذ 7 سنوات wakati niko shule ya msingi nilifundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru Africa ni Ghana na ilipata uhuru Mwaka 1957/8 .
    hiyo Mistri 1952 id="hidden10" class="buttons"> duuuuuuh.
    au mwalimu wangu na vitabu vya kipindi hicho ni bomu
    ....وسعت 2
  • @
    @dibodiboo1904منذ 7 سنوات Huyu rais wa misiri abdul fatah cc ni dikteta amependuwa srekali ya Mohamed mursi ilio chaguliwa kwa halali na wananchi wa misiri na ailifanikiwa kumpenduwa id="hidden12" class="buttons"> Mohammed mursi kwakukwa yeye alikuwa mkuu wa mjeshi kwa sasa misiri inaendeshwa kijesh jesh sasa jiulizeni maswali amefata nini tz majibu mutapata ....وسعت