المدة الزمنية 4:19

DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU ANATAFUTA UMAARUFU

بواسطة Global TV Online
81 669 مشاهدة
0
212
تم نشره في 2019/11/14

DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU" Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai (Chadema), Helga Mchomvu, leo Alhamisi Novemba 14,2019 wamekamatwa na polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Lengai Ole Sabaya. Akizungumza na GlobaTV Online, Sabaya amethibitisha kukamatwa kwa Lema na Mchomvu. Sabaya amedai kiini cha kuagiza viongozi hao wakamatwe ni kutokana na kile alichokiita kuendeleza njama zao za kuvuruga amani katika wilaya hiyo na kusababisha taharuki kwa wananchi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. “Kitendo cha mbunge Lema kutoka Arusha na kuja hapa Hai na kufanya vikao vya siri ni sawa na kuvuka mstari mwekundu na hili sisi kama Serikali hatuwezi kulivumilia. Namtaka Lema ajisalimishe mwenyewe polisi,” amesisitiza Sabaya. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEWS: /playlist?li

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 313