المدة الزمنية 12:32

TOHARA KWA JAMII YA RENDILE/PART 1/RADIO JANGWANI

9 381 مشاهدة
0
53
تم نشره في 2021/03/02

#JANGWANI Mila na desturi za kitamaduni zina mchango mkubwa katika jamii endapo zitaenziwa kikamilifu. Je, umewahi kusemezana na kina Babu Zetu kuhusu Tamaduni zetu za jamii mbali mbali? Kadhalika mwanahabari wetu Jillo Dida Jillo amehudhuria sherehe ya Tohara ya utamaduni ya jamii ya Rendile kisha akatuandalia Makala ya TOHARA KWA JAMII YA RENDILE Sehemu ya Kwanza.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11