تعليقات - 149
  • @
    @rahmaramadhan9773منذ 4 سنوات Weraaaaaaaaaaa akaaaaa zenji mambo nimotooooooooo
  • @
    @letshikuku39منذ 4 سنوات Hongereni sn Wazanzibar Mungu awatangulie kwa hili tupo pamoja tunawapenda sn. From Dsm 1
  • @
    @nassormussa4090منذ 4 سنوات Waaaaawaa! yesu wa zenzi huyo karibu mungu mama kule tz yupo mungu baba hapa tena wapinzani wasahau kwani miungu miwili ikikutana ni ushindi tu miujiza id="hidden1" class="buttons"> mitupu na tunaamini hapa mpaka2035 kazi tuuu hao wapemba watabaki vinywa wazi sasa ni wakati wa kupata baraka kutoka kwa hawa mungu wetu mkitaka kushindana na cc hamtuwezi. ....وسعت
  • @
    @amanimkambala6240منذ 4 سنوات Apo ingekuwa msafala wa maalim sefu vituo vingejaa na kes zisizokuw na kichw wala mguu 10
  • @
    @azmiabdallaazmi5931منذ 4 سنوات Hizo shangwe tu subirini 25/10/2020 ndio siku ya majubu 2
  • @
    @peterkailembo4101منذ 4 سنوات Mimi ni Magu tu hapa kanipa hamasa ya kuipigia kura ccm 3
  • @
    @hilalhilal8400منذ 4 سنوات HAWA NI VIKOSI TU VYA SMZ. HAKUNA CCM HAPO. WAKIMALIZA AJIRA KISANDUKU KWA ACT 2
  • @
    @elibarikikivuyo5946منذ 4 سنوات Hapa angekuwa mpinzani maajabu ingeonekana mbona sioni watu hapo 2
  • @
    @richboy1041منذ 4 سنوات Nje wanakata viono alafu ndn wanaomba dua km so uchoko huu achen uhun ccm
  • @
    @sirjunior1817منذ 4 سنوات Hamjui kuna corona nyinyi muache huu mchezo 1
  • @
    @marthaemmanuel3323منذ 4 سنوات Kwan Zanzibar haina watu jaman mbona wachache sana 2
  • @
    @zubeirsalum128منذ 4 سنوات Vipi raisi mstaafu amani karume naona ww hujavaa kijani 1
  • @
    @janeobure1859منذ 4 سنوات Wapinzani wakifanya hiv tu ni kesi Lakin kwa CCM ni ruksa 3
  • @
    @pachamalota4455منذ 4 سنوات Wamekosea kumtia kwenye gari ambayo haina paa ya kufunuka 1
  • @
    @hilalhilal8400منذ 4 سنوات SASA NA HAWA POLISI VIPI BAADA KUWAKAMATA WACHOCHEZI NDIO KWANZA WANAWALINDA HAWA CCM WACHOCHEZI 3
  • @
    @moussadjanffar1900منذ 4 سنوات Ici 6 lits que comprend mot Diana tu as coupé les canadairs à Cagny Babou il y aura mini fois quoi Comores ligne 3 na combien quoi mon cool à choco on doit couper racine game c'est cool là où c'est quoi
  • @
    @francisfarayo7903منذ 4 سنوات mpinzani ajaribu hicho ! vituo vitajaa kesi ya uchochezi 9
  • @
    @tamemahmad9902منذ 4 سنوات Naona mh. Amani hajavaa sare ya CCM Kisha peke yake kavaa barakoa au Corona imeisha huko?
  • @
    @alesnema9596منذ 4 سنوات Uyu anapoteza muda tu magufuri baba lawo wara hatutachaguwa tunamupa tu 1
  • @
    @saidmohd5090منذ 4 سنوات Ama kwel ssa hatuna tena letu zanbar kuwa ssa rais anatoka bara kuja kuwa uraisi zanbar janani wazanbar tumefumbwa macho bado hatujaamka
  • @
    @janeobure1859منذ 4 سنوات CCM hata wakiweka mtoto wa kikwete kuwa Rais watashangilia tu yaani hiki Chama kitajimaliza chenyewe. Watu wamerudia usultan. Endeleeni kujimaliza.
  • @
    @shibilitimedia3312منذ 4 سنوات Ashapita tayari mimi niko Bara Mwanza-Tanzania 2
  • @
    @ms.independent8934منذ 4 سنوات hapo shkamo hapitii ghoooo ata ambulia mafuwaaa
  • @
    @ms.independent8934منذ 4 سنوات MWINYI anapeta kwakishindo kwenye kura 2
  • @
    @khamisnassor5833منذ 4 سنوات Tutakapo mpokea wetu mseme maandamano au uchochezi au amani itavunjika police hawatoshi 1
  • @
    @aminaabdallah7702منذ 4 سنوات Akichaguliwa yatengenezrme maghorofa yamzee karume pâle mtaani wakisiwadui .japo yameuzwa ili mtaa yupendeze
  • @
    @shibilitimedia3312منذ 4 سنوات Naomba kwa anaejuwa kufumbua kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuri ambayo mwandishi ameeleza kwamba alisema "naomba wazanzibar mnichagulie mtu ambae nikifika stamwamkia " tafsri yake niipi msaada sjaelewa 1
  • @
    @nassormussa4090منذ 4 سنوات Waaaaawaa! yesu wa zenzi huyo karibu mungu mama kule tz yupo mungu baba hapa tena wapinzani wasahau kwani miungu miwili ikikutana ni ushindi tu miujiza id="hidden4" class="buttons"> mitupu na tunaamini hapa mpaka2035 kazi tuuu hao wapemba watabaki vinywa wazi sasa ni wakati wa kupata baraka kutoka kwa hawa mungu wetu mkitaka kushindana na cc hamtuwezi. ....وسعت