المدة الزمنية 18:32

JINSI UKOLONI MAMBOLEO UNAVYOITAFUNA AFRIKA

بواسطة Global TV Online
181 038 مشاهدة
0
1.9 K
تم نشره في 2019/06/03

JINSI UKOLONI MAMBOLEO UNAVYOITAFUNA AFRIKA Changamoto kubwa inayolikabili bara la Afrika siyo umaskini , wala siyo uhaba wa rasilimali bali ni utumwa wa fikra. Fikra zetu zimekamatwa kiasi kwamba hatuwezi kuwaza nje ya misaada. Heshima na ukarimu tunaompatia mzungu ni mkubwa kuliko waafrika wenyewe.Ukarimu wa mzungu unaanzia anapofika kwenye viwanja vyetu vya ndege. #UKOLONIMAMBOLEO /playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 410
  • @
    @kipkoechkosgei104منذ 5 سنوات As I always say. Our problems start with us. The day we will accept we are the cause of all our problems is the day we will move forward. Ni kawaida ya watu wa zembe kulaumu wengine 50
  • @
    @kirujam628منذ 5 سنوات Asante kaka kwa video yako nzuri. Ninaunga mkono na mengi ulichoyasema. Lakini kuna jambo moja ambalo sijakubaliana nalo, na hiyo ni kulinganisha hali id="hidden2" class="buttons"> ya maendeleo ya Afrika na ya nchi kama Amerika, Malaysia, Singapore na kadhalika.
    Nchi ya Amerika haikufikia maendeleo kwa sababu ya ''maono'' ama ''founding fathers'', la! Amerika ni nchi iliyonyakuliwa kutoka kabila ya ''Red Indians'' naye ilijengwa kwa jasho na damu ya ndugu zetu, yaani ''Black Americans''. Bila huo unyakuzi na bila utumwa wa ndugu zetu, Amerika ingekuwa nchi ya kawaida au hata ya umaskini.
    Nchi kama Singapore na Malaysia hazina rasilimali kiasi cha kulinganishwa na zetu. Afrika kina mali nyingi chini ya ardhi yake na mali hii inavutia wakora mbalimbali kutoka kila pembe ya dunia. Wakora hawa, sana wakishirikiana na viongozi wetu bure, wanatupangia vita na kutuletea magonjwa. Tunaposhughulika na majangwa mbalimbali wao wanelendelea kutupora.
    Kwa hivyo shida kuu ya Afrika ni mali yetu nyingi!
    ....وسعت 5
  • @
    @dicksonsisya349منذ 5 سنوات I like this News Team and the main narrator Ananias its the best and of its kind.
    Thank you so much Team Global and Team Ananias.
    How i id="hidden3" class="buttons"> like your voice and all the education you offer us through this channel.
    Please keep it up my brother from another mother.
    Dickson Sisya - From Zambia, DRC and Mauritius.
    ....وسعت 1
  • @
    @classicnaufal9100منذ 5 سنوات Ikiwa unapenda kazi ya ananias like hapa 202
  • @
    @quentinotieno7103منذ 5 سنوات I salute u man. I wish Africans could learn from ur truth narations
  • @
    @ntakirutimanaabdulazizi7778منذ 5 سنوات Asante sana bwanamkubwa Mpagaze .İla ingekua bora otoe video hii kwachini İtafsiriwe mkıngereza Pia nakifaransa
    ili mataifa Mengine waeze elimika pia haswa kwawale wasio skia na kuelewa kiswahili
    7
  • @
    @veelusaمنذ 5 سنوات Hii makala safi sana. Ichapishe tengeneza kitabu inahitaji marekebisho kidogo. Lakini imetulia sana hongera san 34
  • @
    @Cesar-xr9meمنذ 5 سنوات point apo.tunanunua majembe ulaya wakati babu zetu ndio waliogundua chuma hahahah 42
  • @
    @abdimaulid5569منذ 5 سنوات Daaah mwanangu katika siku umenishawishi kuzidi kukuelewa ni hii story maana yake imegusa maisha ya bara la Africa god bless Africa kama tuko pamoja naomba likes zenu. 1
  • @
    @aishandayishimiye5127منذ 5 سنوات Asante leo nimesikiya yenye nilikuwa ubongo wangu unahitaji chakula cha akili asante sana 12
  • @
    @ototek8037منذ 5 سنوات Bado sana kunamijitu imesoma na bado utaskia wazungu eti ni watetez wa haki za binadam..tuspoandamana au kufanya mikutano kila siku watatutenga.pumbavu 25
  • @
    @azizacleny8677منذ 5 سنوات sema kaka upo vzr wallah napenda kuskiliza vipindi vyako duuuh najikuta nainjoy ungekuwa mwalim mm ningefaulu historia wallah ILA HAKIKA WAAFRIKA TUSIPO JIELEW TUTAKUWA WATUMWA WAO MM NMEKATAA KUWA MTUMWA 2
  • @
    @daudintanga1521منذ 5 سنوات Unaweza sana nimemaliza historia karibu zote na najifunza mengi unaweza sana 11
  • @
    @rihannarose1731منذ 5 سنوات Tunaomba nakala ziendelee na kwenye TV ndugu zetu nao wapate kusikiliza angalau wajuwe uhalisia wa mambo nzur 12
  • @
    @UlimwenguMilengaمنذ 5 سنوات Tunaomba Africa tuwe United, mganda akionekana Tanzania anafungwa.
    Sio maisha ayo wote ni waafrica.
    5
  • @
    @acleymangu9020منذ 5 سنوات Braza kunywa unachotaka alaf nitumie bili yako dah!! We jamaa n nomaa sana.
    Embu tuandikie kitabu kuhusu haya maisha aisee ila pia ukitengeneza id="hidden9" class="buttons"> CD itapendezaa sana ili hawa watoto wadogo waendelee kusikia haya labda wanaweza kutusaidia tubadilike! Duh!!
    ....وسعت 2
  • @
    @chidiomari.65منذ 5 سنوات Asante Kwa huduma yenu,Mungu awabariki Sana. 3
  • @
    @josephatkashendwa1177منذ 5 سنوات Gonga like.Kaka yangu kutoka mama mwingine."Africa ina umri mkubwa lakini bado inavalishwa nepi" 2
  • @
    @mohammediallykaboza5862منذ 5 سنوات Aise edga mungu akulinde makala zako zinatisha sijui ututengenezee vitabu! 8
  • @
    @robertmasatu4029منذ 5 سنوات Iko vizuri iyo ndugu yangu Africa inahitaji miti shamba tofauti na ile ya wazungu 2
  • @
    @deadcrushمنذ 5 سنوات Kwa msimuliaji, Kazi yako unaipenda sana. Hasa sauti yako ni safi sana. Hongera. Binaadamu hakuwa nyani. Hakikisha unafanya utafiti na kuhariri jumbe zako kabla hujaliza la mgambo. 1
  • @
    @imanivard1127منذ 5 سنوات Umezungumza ukweli sana tena sana,tunawafanya wao miungu watu mpaka tunachukia asili yetu,
    Mambo yao ya ajabu sisi ndio tunaona ujanja
    2
  • @
    @cascmvirile8687منذ 5 سنوات Daaah Aseee broo fikira zako kama ZANGU daah MUNGU akuongoze Mzee mana ukisema kweli wanakuzima kama analogia kwenda digital 19
  • @
    @mzunguonlinetv9181منذ 5 سنوات Nimesikiliza sana simulizi zako nikagundua .unatumia muda mwingi sanaa kujiandaa kabala ya kuanza simulizi .na pia nikagundua wewe ni moja class="buttons"> ya watu wenye upeo mkubwa sanaa wa kufikiri kabla ya jambo na nikagundua kuwa watu kama wewe wanaitajika sanaa katika nchi zetu izi .namalizia tu kwa kusema wewe unajua unachokifanya yaani wewe ni kichwa unatumia akili yako vizuri sanaa .napenda sana simulizi zako ANANIAS EDGER my brother from another mother . ....وسعت
  • @
    @edsonmwaibanje129منذ 5 سنوات Ahsante kwa simulizi hii, hakika wewe ni mwaafrika halisi na mzaleno wa kweli kaka, Hongera sana 1
  • @
    @sagudanicasnicas2660منذ 5 سنوات Tukiona viongozi wanaopambana ili tujikomboe wenyewe tunawaponda eti wantutesa 51
  • @
    @olivercloud5597منذ 5 سنوات Hongera sana kijana una mawazo mengi sana kijana. Umasikini wetu ume sababishwa na ubaguzi ambao tuko nao. Tu ache kwanza ubaguzi kati yetu sisi kwa sisi.
  • @
    @enockyohana6856منذ 5 سنوات Naomba nishaur fungua group whtsap kisha liite harakat kwa MTU mweusi..tufunguan harakt nimuhim ili historian ibadirik tena uafrica ulindwe na kila mmoja 5
  • @
    @masungadutta3823منذ 5 سنوات Kaka Mungu akusimamie yani Mpaka Machozi yamenitoka. Inauma sana na ukweli siku zote hauburudishi Bali unaridhisha na huja na maumivu. 10
  • @
    @venancemalima1181منذ 5 سنوات Hongera na asamte,hata viongoz bora wamapotokea Afrika tunawaita dikteta.Inapendeza kukusikiliza. 2
  • @
    @nissannicolas8397منذ 4 سنوات Baba nakupenda sana
    Natena nakufwata 100%
    Unasemakweli adui wamu afrika ni mu afrika
    Hataserekali zetu zingekuwa zinaku fwata kungekuwa mabadiliko
  • @
    @enockyohana6856منذ 5 سنوات Wazee wa zaman hawakuish wao Ila walituandalia sisi.ila sisi tunaharib vyote.ili wanao kuja wapamban wenywe..fid q alisema wanataman kutuangusha chini wanatukuta tumelala chini.. 1
  • @
    @faridamkesso97منذ 5 سنوات Hongera sana umeongea point sana hii ndio Elimu inayotakiwa kwa jamii maana kweli hatujitambui na hatujithamini 12
  • @
    @gloirejoseph9408منذ 5 سنوات mimi mkongomani ila nahishi south Africa nakukubali sana Bro kwa story zako ohh my Africa 1
  • @
    @abdulkarimhamissi3755منذ 5 سنوات Jana nimeona marekan imemuwekea vikwazo balozi wa Zambia tanzania nikashindwa kuelewa 2
  • @
    @ramadhanalfan6249منذ 5 سنوات NDUGU YANGU UNACHO SEMA KWELI NAUNAONA MBALI SANA ASANTE SANA 24
  • @
    @thetriplesofbethlehem6095منذ 4 سنوات Asantesana kwa mafundisho mazuri mwalimu✊we are coming home soon
  • @
    @rizikivincent9471منذ 4 سنوات Mungu akubariki afrika tumetiwa akili finyo kujirudi kwenye usawa.wetu inakuwa shida na wanaoweza.kurekebisha ni viongozi wetu wa afrika nzima kuungana na kulifanyia kazi ili tatizo
  • @
    @agnessestoni5631منذ 5 سنوات Naskia hasiraaaaaah vibaya mnooo Mung ameibariki Africa nawatu wake 2
  • @
    @rajabkafuta3385منذ 5 سنوات kazi njema kaka. ushauri mzuri, tupunguze ufinyu wa kimawazo na kifikra Afrika.
  • @
    @rasihamsangi8084منذ 5 سنوات Mungu endelea kutufahamisha yaliyo ya kweli
  • @
    @japhetkazeri7135منذ 4 سنوات Kaka ubalikiwe sana na Mwenyezi Mungu.Wewe ni Mkombozi wetu
  • @
    @humphreykajigili6866منذ 5 سنوات Bro nakubali kinoma kaz ya kutoa ujinga kikubwa tufanyie kaz tunarudishwa nyuma na viongoz wetu pia 1
  • @
    @eddokasanga6338منذ 5 سنوات dah tumejenga majeshi yenye nguvu badala ya uchumi wenye nguvu 13
  • @
    @thobiassmollel2608منذ 5 سنوات Brother hongera sn.sijajua Ni lini watu weusi tutastuka kuheshimiana, kujikubali na kujitambua.never
  • @
    @msonocollo9551منذ 4 سنوات asante kwa kumbea mama africa ukweli asante mungu akuwe uzidi kutuelimisha sisi wana wa afrika
  • @
    @godfreymkanje5667منذ 5 سنوات "Babu zetu walifungwa minyororo shingoni..lakini sisi tumefungwa fikra hili ni kweli .natamani tuamke tulipo lala .TANZANIA ni nchi tajiri sana id="hidden17" class="buttons"> lakini rais akifanya maendeleo wengine wanampinga.sijui ni nini tumefichwa usoni petu .tunampinga raisi kwa kuipa kipaumbele lugha ya kiswahili ila waswahili sisi bado tunampinga.MUNGU inusuru africa ." ....وسعت 2
  • @
    @januarykayala2396منذ 4 سنوات Amazing nachukua mda mwingi kumfuatilia
  • @
    @alphoncemtuluka3387منذ 5 سنوات Ongera sana muandaaji wa hii story yaani
  • @
    @zulfahhussein505منذ 5 سنوات Duuh kaka nimekuewa vizuri sanaa wazugumza ukweli mtupu kabisaa 1
  • @
    @calhoun1750منذ 5 سنوات I hope everyone watch this video so people can change 7
  • @
    @allysamba1695منذ 5 سنوات Nakku bali sana bulaz salute kwako na mngu hakufanyie wepes katka mmbo yko
  • @
    @geraldpetro7895منذ 2 سنوات Upo sawa kaka Bado hatujielewi utaifa unashinda tumebaki kuangalia mipaka wayaliyotugawa nayo. Israeli walikaa utumwani miaka 400 hata sisi Ipo siku tutajitambua tu.
  • @
    @jumamkokota9484منذ 5 سنوات Umeongea maneno mazito sana kaka na yote yanamaana sana 2
  • @
    @prochesslyimo4863منذ 5 سنوات Heri wazazi waliokuzaa.Na ashukuriwe Mungu aliyewapa maarifa haya 3
  • @
    @khalifadaudi622منذ 3 سنوات Ningependa sana maneno haya kama yangewafikia wakubwa wa nchi hii
  • @
    @hermanstephenntabahungu5310منذ 5 سنوات Kama ingekua inaruhusiwa kuilike hii video hata mara trillion ningefanya hivyo,,,,bigup boss kwa elimu makini na ya kizalendo
  • @
    @bensonkimaro8892منذ 5 سنوات Dah this is great na inasikitisha sana