المدة الزمنية 6:14

JUICE YA COCKTAIL YA MATUNDA

136 754 مشاهدة
0
1.2 K
تم نشره في 2017/07/07

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 172
  • @
    @ummukulthumhafidh65997 years ago wow mashallah it look sooooooo yumyyy fantastics one thanks dear 1
  • @
    @salmahassan68097 years ago i really like this. Ntaijaribu inshaa allah. It seems very delicious 2
  • @
    @mariamrayyaanishaaq67387 years ago wooow.its veerry awesome..and has amaizing colours mashaallahu.. 1
  • @
    @rehemaramadhani2007 years ago mashallah I like it so very nice shukraan habibty 3
  • @
    @faridahussein49627 years ago Ma sha Allah it looks yummmmmy love you Aroma of Zanzibar 1
  • @
    @joycendegwa94947 years ago Simple and looks refreshing, gonna try it. Mwenyezi Mungu akuzidishie maarifa. 2
  • @
    @ummusamira35187 years ago Masha allah shukran jazzakallahu lkheri😘 1
  • @
    @mwajumaaliy81197 years ago maa shaa Allah habibty shukran sana allah akuzidishie 1
  • @
    @mercylinemaina94597 years ago Why go to cooking school when I can watch Aroma of Zanzibar.instructions zako ni clear.thanks alot. 7
  • @
    @catherinegumbo14505 years ago Waoh juice ina mvuto. U r my role model Kwa recipe zako zote. Blessed by Allah. 1
  • @
    @jacklinekalinga85835 years ago Saafi sana uko vizuri yaani zinavutia😃
  • @
    @salimalsinani44136 years ago Mashaallah my dear mungu akubariki yaani unanimaliza haswa Akhsant nimejifunza mengi my kupitia vipindi vyako vyamapishi napenda sana Kuangalia mungu akubariki naakujaalia afya njema nauzidi kutuletea vitu vipyya
  • @
    @mariamrayyaanishaaq67387 years ago mashaallah... Allah akuzidshie uzid kupat nguv kutufundishaa 1
  • @
    @samiraalrajhy76937 years ago Mashallah tasty😍 pls ukipata nafasi nifundishe mandazi ya oven plss 1
  • @
    @zaitoon13237 years ago sina haja ya kweta fildi mafunzo yako yananitosha 🙏 tunashukuru sana unaelekeza vzr sanaaa 3
  • @
    @MohamedAli-vh3qm7 years ago ningepata mke kama wewe aroma Zanzibar yaani mwili ungepasuka,Shukran Sana nimeikopy style nyingi mungu akuzidishiee naakupe Idea tofauti za mapishiii 11
  • @
    @KMVlogs7 years ago Looks so good and healthy i can imagine the taste
  • @
    @salmaamour77004 years ago Asant3 sana ,leo nimejifunza kitu kipya ,ALLAH akubariki kwa kujitolea kutufundisha
  • @
    @mwanaishambili2417 years ago mashaallah ma pia juice za kutengeza home zina afya kuliko za kunnuwa zimewekwa madawa kila haina 1
  • @
    @hatimalnaamani8764 years ago Yaani hata kama umekulia kijijini au mjini na hujui kupika ili ni darasa tosha ukiwa wahitaji kujifunza, ada yako ni MB tu. Asante sana kwa moyo huo ulio nao 1
  • @
    @milloshaamstv17946 years ago Allah akuzidishie amin na ss tunaokufata atupe uwezo na kipaji
  • @
    @rahmaahmad49176 years ago hongera sna mpendwa nakupenda bure maana familia yang imetoka shavu kwa mambo yako matam ,tuseme inshaallah 2
  • @
    @zahrahassan13517 years ago Mashaa Allah shukran sana 🍎🍌🍉🍍🍓🍇🍟🍔🍧🍩🎂🍨🍦🍫🌮 1
  • @
    @safiyatmuhammed20727 years ago masha Allah,this cocktail really looks so good,please help us with translation
  • @
    @zakiahassan27897 years ago mashaallah nakupenda anty unaelewesha vizur 1
  • @
    @abdullahfarid95155 years ago Sweet melon 🍈 anty haha 😂 shammam in Arabic but Maa shaa allah you are so awesome 😎 👏🏻 1
  • @
    @diyaosman89927 years ago ماشاءالله عليك الله عديك عافيهnakupenda Sana dada asante.shamam nikiarabu
  • @
    @ahmedmusa44537 years ago As'salaam aleikum hongera. Cocktail zipo sana mji wa mombasa na ni kweli idea nyingi za juice twazitoa arabuni sababu wengi wetu twafanya huko tukija nyumbani wengine inakua biashara tena nzuri mm mmoja wapo. Juce hio hatari naitambua. Ukitaka juice nyekundu pia waeza tumia beetroot,maembe na machenza. ... 1
  • @
    @relaxverse39867 years ago Hey, hello! I was watching a jikonimagic chapati recipe and she mentioned you so... here I am. A new subscriber. Jikonimagic holds you with high regard and am happy to join your channel. Thank you.
  • @
    @mwajumaabeidy81374 years ago Allah akuhifadhi.tunajifunza mengi kupitia wewe.shkrn sana
  • @
    @Bella-eu6dy7 years ago inapendeza sana hii cocktail. Mungu akuzidishie.tunakushukuru kila kitu nikijaribu kinatokea.wewe ni mwalimu mzuri
  • @
    @rukiaali8467 years ago asante kwa video yako ya juice mungu akuepushie na kl shari husda na fitna za binadaamu
  • @
    @BillysFamily7 years ago nimeipenda sana na inakaa kuwa kama rainbow. very pretty 1
  • @
    @gidionnyangaka89407 years ago Dada upo good sana kwene mapishiThanks for teaching me.
  • @
    @bestsuma25737 years ago hiyo Juisi imenitowa udenda yaani kwa kuiona tu dah kusema ukweli huyu Mama Aroma of Zanzibar Mtaalam sana hongera yako mungu Akuzidishie
  • @
    @shiijam67716 years ago Nilikua najiuliza inakuaje haziingiliani... New sub here🙋
  • @
    @halimakhalfan21107 years ago Tamu kwa kuangalia tu! Lazima nijaribu hii na mimi, soon in shaa allah 1
  • @
    @milloshaamstv17946 years ago Lol naona kama kiswahili kidogo kinakupisha pisha lkn uko vizuri dada nakufatilia sana mafunzo yako
  • @
    @mariaamosy27014 years ago Dada your so a proud umenishawish biashara ya juice rangi3
  • @
    @nasrjuma23604 years ago Kivipi uachike...!!!????😂😂😂thanx Aromaa
  • @
    @raysalsalym61797 years ago dada huwa hukosei hizi idara unanikosha sana 1
  • @
    @annenamwanda80213 years ago Nimekua Kwa muda mrefu nikishanga science hii ni ipi 🙆, nimeshukuru Sana Kwa hii video
  • @
    @msemokingdom4 years ago Thanks for sharing with us.... wacha mabachelor tupate coz hapa tunapata sana shida wakija washkaji 😅
  • @
    @anastasiamainaministries27003 years ago Hilo tunda lakoroha wengi akili🤣🤣najua shamam jina la kialabu
  • @
    @frankmwacha7 years ago masharaararara nakuja Zanzibar kuoa kabisaaa
  • @
    @catherineezekiel62066 years ago Asante, je maziwa unaweka yakiwa mabichi au unayachemsha kwanza?
  • @
    @saadaissa22344 years ago Dada unajua wallah alafu unavyo elewesha sasa hadi raha
  • @
    @rashidihemed54872 years ago Dada nakupenda ila Leo napenda nikuulize hiyo juice au fruits
  • @
    @zainabjaffar80503 years ago Ayo maziwa uliyachemsha kwanza au ulisagia Vila ya kuchemsha?
  • @
    @jameskaaya61475 years ago naomba kujua kama hilo tunda la mapambo tunaeza kula au..?