المدة الزمنية 6:19

Dirisha Wanafunzi kubadili tahasusi, kozi za Chuo sasa rasmi- Mhe. Waziri Jafo

10 748 مشاهدة
0
79
تم نشره في 2020/03/25

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo ametanga Fursa kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha Nne mwaka 2019 kuanza kubadilisha TAHSUSI (COMBINATION) kwaajili kuweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha Tano pamoja na vyuo kwa Mwaka wa Masomo 2020.Mhe. Jafo ametangaza fursa hiyo mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtaa wa SDA jengo la Sokoine na kuhudhuria na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia elimu Gerard Mweli, pamoja na watumishi wa Ofisi hiyo.Mhe. Jafo amesema wale wote waliofaulu kuanzia Daraja la kwanza mpaka la tatu watakuwa na Fursa yakufanya hivyo hasa ikizingatiwa kwamba watakuwa tayari wamejua ni masomo gani wamefaulu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 22