المدة الزمنية 4:26

RC KAGERA AWAONYA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI ZA VIFAA VYA UJENZI ''HAPA HAWANA NAFASI''

بواسطة KAGERA TV
200 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/11/09

#rckagera#yunedatv Mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jeneral Charles Mbuge amewata wakuu wa wilaya, wakurugenzi na wakuu wa shule kuhakikisha ifikapo novemba 30 wawe wamekamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa vinavyojengwa kwa fedha zilizotolewa na Mh. Rais Samia S H assan katika kuhakikisha uhaba wa vyumba vya madarasa katika shule za sekondari na msingi unapungua na kuwataka wafanya biashara wanaopandisha bei za vifaa vya ujenzi katika kipindi hiki kuacha tabia hiyo mara moja kwani wakibainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0