Usafiri katika kisiwa cha Zanzibar kwa sasa ni rahisi baada ya kampuni ya Zanzibar fast ferries kuwekeza katika usafiri wa majini.
#Zanzibar #Usafiri #Baharini #zanzibarfastferries
@zplusmediatzمنذ 6 سنواتAhsante sana mhe. Kweli tumepata muarubaini wa usafiri maana hata bei ukipunguza itakuwa safi tutawakimbia azam na ajipange upya
@
@samsungjsevenprime5717منذ 6 سنواتM/MUNGU ATUJAALIE TUSAFIRIE MELI HIYO KWA RAHA NA SALAMA BILA USUMBUFU WOWOTE AMIIN 6
@
@khamisame4649منذ 5 سنواتMm nawaomba kwaza wakaijaribu mkondo Wa nungwi 2
@
@salehkhamis9978منذ 5 سنواتhongera turkey" sasa tuta ondokana na usumbuf WA usafiri tushachoka maana iliku mwanzo ticket ukikosa kukata Leo ukenda siku ya pili zishapandishwa bei 2
@
@alihamad6046منذ 5 سنواتMashallah angalau maana jamaa alikua peke yke anatusokotta balaa na bei zake duh
@
@ahmadsayyeed2974منذ 5 سنواتWeka pembeni baharesa turki number one kila siku bakhresa alikua anaambiwa apeleke meli wete akasema sijui gati mbovu alipoona tayari mwenzake amepeleka id="hidden2" class="buttons"> kiroho kinamuuma na yeye anajidai kupeleka wapemba wa kaskazini na kusini kwa ujumla tunasema hatupandi meli ya bakhresa tena kama anasifika kwa upigaji wa maboat mungu hatompa nguvu In shaa Allah turki Allah atosha kukulinda uishi miaka mingi kwani umetusaidia sana watu wa kaskazini ....وسعت
@
@islamubakarpba9561منذ 5 سنواتMusikufuru bahari haina kiboko mungu wape wepesi wtz wote
@
@salehkhamis9978منذ 5 سنواتhongera sana Turkey maana baharesa akiona ticket zake zinanunuliwa kwa sana anaanza kutupandishia mabei 2
@
@gozikongwe2778منذ 5 سنواتNakumbuka kati ya miaka ya 2007 hadi 2011 mtu aliweza kusafiri kutoka DSM-PBA moja kwa moja na unafika siku hiyohiyo (unaondoka Pemba saa moja na robo id="hidden3" class="buttons"> asubh, saa sita kamili kashafika Pemba. Leo ukiitaka Pemba unaondoka leo hadi kesho ndio ufike. Napo kama tiketi hazijesha ....وسعت1
@
@alisaid2410منذ 4 سنواتmbwa wa bakhresa wanajiona keki wanaringa na vilemba vyao kama popo utadhani huyo boss wao ndo kawatuma wawe nakiburi wanajiona wako kwenye Qatar 1
@
@hamzahaji175منذ 5 سنواتNauli zipunguzwe atumbandi tena makherasa ajali wanyonye
@
@salehsalhamselem3285منذ 5 سنواتInabeba abiria zaidi ya alfu moja ikizama mnasema abiria mia 2 ndio ilichukua p
@
@abdulhamidy8920منذ 5 سنواتApo kidogo patam maana naona azam katawala bahari
@
@ismailjuma3692منذ 5 سنواتkiukweli shida ni usafiri kutoka pemba to dsm au dsm to pemba kwanini pasiwepo na usafiri wa cku moja bila kulala kwenye meli ukafika cku ya pili kwani pana umbali gani? 1
@
@suleimanally5870منذ 5 سنواتhmed maulid wewe mjinga kweli au ndoo katika mitu ambayo Haina heri hapa duniani nakesho ahera nawe nimmoja wao wewe shida zinaondoka ila kwa ujingawako id="hidden5" class="buttons"> eti unasema ni masekrepa lete hiyo yakwa ambayo nimzuri na nimzima mpumbavu mkubwa wewe ....وسعت1
@
@fugameza6011منذ 4 سنواتPowa isiwani TV hilo siyo kweli upo ulipo wewe tuu mbona hatuja kusikiya vitambulisho kuleee wanaliyaaaa nenda nawe upooo tuone kama upooo au upo hoii
@
@kingayo999منذ 5 سنواتningependa meli hii ifunge gati bandari ya wete ingependeza zaid
@
@ahmadsayyeed2974منذ 5 سنواتWeka pembeni baharesa turki number one kila siku bakhresa alikua anaambiwa apeleke meli wete akasema sijui gati mbovu alipoona tayari mwenzake amepeleka id="hidden8" class="buttons"> kiroho kinamuuma na yeye anajidai kupeleka wapemba wa kaskazini na kusini kwa ujumla tunasema hatupandi meli ya bakhresa tena kama anasifika kwa upigaji wa maboat mungu hatompa nguvu In shaa Allah turki Allah atosha kukulinda uishi miaka mingi kwani umetusaidia sana watu wa kaskazini ....وسعت
@
@gozikongwe2778منذ 5 سنواتNakumbuka kati ya miaka ya 2007 hadi 2011 mtu aliweza kusafiri kutoka DSM-PBA moja kwa moja na unafika siku hiyohiyo (unaondoka Pemba saa moja na robo id="hidden9" class="buttons"> asubh, saa sita kamili kashafika Pemba. Leo ukiitaka Pemba unaondoka leo hadi kesho ndio ufike. Napo kama tiketi hazijesha ....وسعت1
@
@suleimanally5870منذ 5 سنواتhmed maulid wewe mjinga kweli au ndoo katika mitu ambayo Haina heri hapa duniani nakesho ahera nawe nimmoja wao wewe shida zinaondoka ila kwa ujingawako id="hidden11" class="buttons"> eti unasema ni masekrepa lete hiyo yakwa ambayo nimzuri na nimzima mpumbavu mkubwa wewe ....وسعت1
مقاطع الفيديو ذات الصلة على ZANZIBAR; KUSAHAU CHANGAMOTO YA USAFIRI.: