المدة الزمنية 3:50

NAPE AKATAA KATA: TUTABAKI NA MAGUFULI MPAKA LINI/MLE NDANI KUNA MAMBO/WABUNGE HAWANA UZOEFU

بواسطة Dar24 Media
79 151 مشاهدة
0
292
تم نشره في 2021/02/08

#nape #wabunge #bungeni

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 136
  • @
    @hermansasuri9743منذ 3 سنوات Hakika umejibu swali vyema saana ,viongozi wanatakiwa kufanya kazi na sio kukaaa na jina la Magufuri kwenye vinywa vyao ,kazi kubwa kaifanya lakini wanatakiwa id="hidden1" class="buttons"> kujua nyuma yake kuna pia viongozi wa chini waliofanya kazi kubwa japo yeye ni kiongozi hatukatai kafanya mapinduzi makubwa ,lakini viongozi wasibweteke bali wafanye kazi ili hata kiongozi atakaekuja baada ya Magufuri afanye kazi kumshinda mtangulizi wake ,lakini kuanza kuzungumzia swala la muda wa Rais wakati kuna mambo mengi wananchi wanasubiri wafanyiwe kupitia hilo bunge nafikiri ni kukosa kujiamini na kujenga hoja na badala yake watu wanakimbilia muda uongeze wa Rais ,Udhaifu wako ndo utakaokufanya usirudi Bungeni baada ya miaka 5 ,xo what is important is to work only that, we love our president. ....وسعت
  • @
    @ellykibale190منذ 3 سنوات Mfumo saa nyingine unachukua mda kuwekwa na pia Kuna suala jingine la muhimu ambalo ni kubadili tabia ya watu, nalo pia huwa linachukua mda.
    Mfano id="hidden2" class="buttons"> Raisi anavyobadili utamaduni wa watu kupenda kufanya kazi na uwajibikaji maofisini, linahitaji mda na kuliweka sawa mfumo (mfano sheria) saa nyingine unaweza usiwe na tija Bora kuliko mbadili tabia(Raisi) akiwepo kulisimamia.
    Hivyo Hoja ya kumuongezea Raisi mda inazungumkika, wabunge msiiogope.
    Mwl Nyerere alipotaka kuachia madaraka,serikali ilijitathmini na kumwomba aongeze mda.
    Wananchi wakitaka aongezewe mda tuseme kumi zaidi, Cha msingi hapo ni taratibu ufuate. Mda ukifika hoja ipelekwe Bungeni waijadili na ikiwapendeza kubadili,wabadili.katiba siyo msahafu.
    ....وسعت
  • @
    @yayananajota5838منذ 3 سنوات Hapa mh amenikosha Sana, Asante nape umeongea points 100% 10
  • @
    @nehemialikatage7378منذ 3 سنوات Mtazamo wangu ni huu tusivuruge katiba ya nchi kuwa ajili ya takwa kuwa kifungu cha raisi kuongezewa muda.hapana tusifanye hivyo badala yake tuweke musingi id="hidden3" class="buttons"> bora na isiyo na mashaka ya kumpta mrithi wa jpm.Nina uhakika katika watanzania m,60 hatakosekana mmoja wetu wa kuvaa viatu vya jpm.tujipange na tuweke ktk kumbukumbu yote mazuri atakayoyaacha ili mfuasi wake atembee ktk nyayo zake. ....وسعت 1
  • @
    @georgealphonce100منذ 3 سنوات Nape,hapo umeonesha ukomavu wa kisiasa, 6
  • @
    @tumainirichard6298منذ 3 سنوات Nape unajua kujibu kwa akili Sana. Big up. 10
  • @
    @praisesamson8298منذ 3 سنوات Kama umegundua anamaa nisha katiba nzr ndyo tunahitaji na c kumuongezea muda coz hataishi milele ila katiba ata akifa itadumu gonga like kwangu 5
  • @
    @alanusrespicius1796منذ 3 سنوات Hili swala la wabunge wageni mbona mnalisema Sana? Kumbukeni ninyi mnaojiita wakongwe ndo wapigaji, wahuni na majizi wakubwa na ndo mmetufikisha huku tuliko. id="hidden4" class="buttons"> Mikataba ya nchi mibovu harafu mnajjita wakongwe. Nendeni huko. Unaona anko Magu alivyobadili kikosi cha mawaziri kaweka hao mnaowaita wageni hawana uzoefu na mambo yanaenda. Nape wewe tunakujua ni mhuni na mpiga dili Kama wengine tu ....وسعت 3
  • @
    @sheryphamwenevalley6124منذ 3 سنوات km Rais miaka 10 awache madaraka na nyinyi pia wabunge wa kudumu mliokaa hapo zaidi ya miaka 10 pia muache atuwezi kuwa na wabunge wa kudumu, na mishahara mikubwa wakati watu wa hali.ya chini wanakufa njaa 2
  • @
    @denismassawe9255منذ 3 سنوات Huyu si ndio yule alimwitaga Rais mshamba akaenda ikulu kutengeneza na Rais !!!????? 2
  • @
    @yohanaobeth1558منذ 3 سنوات Nape umeongea Vizuri sana! Inatakiwa kutengeneza mifumo. 8
  • @
    @mariambeautysonghuseni9549منذ 2 سنوات kwanza hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa habari hongera sana
  • @
    @happinessmwenda2773منذ 3 سنوات NAPE SIKU ZOTE UWA UKO VIZURI.VIJANA KAMA WEWE BADO NI WACHACHE 3
  • @
    @raydeus8192منذ 3 سنوات So jamaa alijua dhahili Dar ukiuwa kwa upanga lazima na ww ufe kwa upanga asee.
    Hakika Mungu atatenda.
    1
  • @
    @eischerschwederm7876منذ 3 سنوات Sawa mfumo kuwepo lakini speed hii kwa wakati huu ..ikiwa Mwenyezi mungu Kampala thai tunahitaji.. kazi anayoifanya ni IBADA HATUTAKI MWINGINE ZAIDI YA id="hidden6" class="buttons"> MAGU.HATUTAKI..KAMA MZIMA ATAKUWA RAIS..TUTALIANZISHA TU ATAKE ASITAKE.AFROCA NZIMA HAKUNA KAMA MAGU..NDIO RAIS PEKEE AKIONGEA HAKUNA KIBAKA ANABISHA..MAGUFULI TUNAMTAKA WATANZANIA SIO SUALA LA MBUNGE MAGUFULI NI MALI YETU WATANZANIA..MAHUSIANO ....وسعت 1
  • @
    @stevenmwaisunga5090منذ 3 سنوات Umeongea kwa hekma japokuwa kuna vibaraka humu wanakupinga 6
  • @
    @ndogoroedson9438منذ 3 سنوات Nape uzoefu bila vitendo hakuna kitu! Mnaweza kuwa mmekaa Sana bungeni lakin ni kwa ajili ya matumbo yenu! Kwa upande wangu bunge halina ugeni ili mradi ww ujue kuzisoma kanuni na Sheria za bunge basi huo uzoefu hautusaidii 3
  • @
    @venancemalima1181منذ 3 سنوات Uzoefu siyo tija tunahitaji wabunge wanaolenga masilahi ya Wananchi na si vinginevyo.Magu for life kura tumeshamwandalia kitambo. 2
  • @
    @hermanjackson9310منذ 3 سنوات Bunge live bila chenga, mambo ya ki ,, 1
  • @
    @nabii-zc1hmمنذ 3 سنوات JAPIPO HOJA YAKO YAKUONGEZA MDA RAISI UNAFELI TUJADILI MAMBO YA MSINGI KWELI NJOMBE HAMNA KITU 1
  • @
    @KS-iw7qvمنذ 3 سنوات Muhimu kuweka mifumo ya kimkakati ya kulinda na kuendeleza aloyatenda jembe JPM. tukilazimisha desturi yetu ya kubadilishana madaraka kwa Upendo tutaitengua. id="hidden8" class="buttons"> Tunamuhiji tumtumie kwa mawazo na fikra zake basi tusimchoshe kama Wa Jirani zetu. U. ....وسعت 2
  • @
    @thekingbudah3711منذ 3 سنوات Tanzania tunakwenda kama chini tu mpaka wasaau rushwa bado wanapiga debe mpaka miradi hiishe
  • @
    @mnegaamina6085منذ 3 سنوات Mi ni ccm lkn naomba iishie hiyo kumi tu
  • @
    @rashidiwaiti6686منذ 3 سنوات Na nuieee hukoo bungenii msituchafueee amakizee miaka yakee basiii nchi ganii Sasa tunakaa Kama wagenii
  • @
    @rashidiwaiti6686منذ 3 سنوات Wanaenufaikaa na kofii yetuu ndioo wanalidhiiaakubuluzwaa hukoo mtalindwaa Sanaa mpaka chooniiii
  • @
    @gracemairusya2950منذ 3 سنوات na yeye aachie ubunge tumechoka domo lake.ndo walioturudisha nyuma 4
  • @
    @ananiangonyoka4309منذ 3 سنوات Wewe una akili sana Nape tusiwe kama uganda
  • @
    @drpeter3760منذ 3 سنوات Siku iz Nape unajitahidi kukosha watu! Sio bao la mkono tena
  • @
    @lirastanley390منذ 3 سنوات Hv leo mkiongeza muda wa rais je baada ya huyu mwingne nae akiona aliyemtangulia aliwah kufanya hvyo unafikir itakuwaje???mwisho wa siku italeta tamaa id="hidden9" class="buttons"> na baadae kuiingiza nchi kwenye machafuko.hongera sana JPM kwa kukataa mpango huo ila kauri ya polepole inanitia shaka kidogo ....وسعت 3
  • @
    @bizzboy5490منذ 3 سنوات Sio kweli hili Bunge mtachapana
    Wenyewe ngoja siku zisogee.
    1
  • @
    @ibrahimhemedi9079منذ 3 سنوات Akuna mfalme wa Milele mifumo ndio inayotakiwa that good points. 2
  • @
    @rejobu9723منذ 3 سنوات Huyu nae ni kati ya majizi wario jipenyeza kwenye kundi la vipofu 1
  • @
    @hatibumringo5964منذ 3 سنوات Naam! hatuwezi kurudi nyuma badala ya kusonga mbele, muda ukifika asepe.
  • @
    @denismassawe9255منذ 3 سنوات Nape uko sawa lakini ndani ya moyo wako sidhani kama uko vzr hata kama Rais mwenyewe angetaka kuongezewa muda sidhani kama wewe ungekubali maana si unakumbuka wenyewe ile issue ya wewe kumwita mshamba kipindi kileee!!!! 2
  • @
    @hamedabashir9منذ 3 سنوات Mbona yerere alikaa sasa nyi mbona munawivu kwan jpm akikaa madarakani itakuaje 2
  • @
    @learningkiswahili5daysstre367منذ 3 سنوات Nape mpigaji kama wapigaji wengine yeye na rafiki yake January .walifikili nchi ya babazao mimi kama kijana sina himani nao 15
  • @
    @happinessmwenda2773منذ 3 سنوات HATA MIMI NATAKA MIFUMO IWEKWE KTK KATIBA KAZI ALIYOIFANYA RAIS NI KUBWA ATAFURAHI ZAIDI AKIONA YANAENDELEZWA WAKATI YUKO PEMBENI
  • @
    @allymsuya6655منذ 3 سنوات CCM sijui wakoje? Sisi tusio wanasiasa tunaona ndani ya chama chao chenyewe kuna watu wengi tu wanaoweza kufanya mambo makubwa na kwa mitindo salama zaidi id="hidden11" class="buttons"> kuliko hivi anavyofanya Magufuli, lakini wao wanabaki kusema Magufuli Magufuli. ....وسعت 1
  • @
    @hekimatakatifu8463منذ 3 سنوات Nibora muamuae nyie kulingana na matakwa ya katiba ila akiamua Mungu kuanzia nyie adi uyo mnae sema aongezewe muda mtajuta maana mkono wa Mungu utakua juu yenu
  • @
    @erestizacharia4758منذ 3 سنوات Wanaodai rais kuongezewa mda hawana akili za kujitegemea, Cha muhimu urais Tanzania ufanywe Kama Taasisi atakayemrithi magu ayaendeleze miradi itakayo id="hidden13" class="buttons"> shindikana kumaliziwa awamu hii, nje na hapo tutasababisha tamaa kwa viongozi watakaokuja baada ya rais magu. ....وسعت
  • @
    @zefamange7281منذ 3 سنوات HUYU ILIKUA RAZIMA AKATAE KWASABABU NI MPIZANI TOKA MWANZO 2
  • @
    @harunimfaume6280منذ 3 سنوات Nakuona rais mtarajiwa naiman na ww nape utaikombomboa kusini 2
  • @
    @matthiasmageni6893منذ 3 سنوات Misingi huwa inabomolewa tu cha msingi aongezewe muda lakini apunguze Kodi au aondoe kabisa kwa wafanyabiashara wadogowadogo maana biashara zinakufa Sana. 3
  • @
    @mohamedhaji2200منذ 3 سنوات Misingi bila mtu ni zero. Kwani misingi haipo? Tokea 1964 misingi imeekwa. Individual behavior ina mater sana. Aongezeww
  • @
    @muhammedimandai9671منذ 3 سنوات Wasukuma wote wanataka magufuli aendelee mpaka mwisho wa maisha yake
  • @
    @harunimfaume6280منذ 3 سنوات Muheshimiwa nape vp kuhusu kuzifua fua meri za kwenda mtwara au kununua meri mpyaaa au japo mpelekee treni mtwara lindi masasi
  • @
    @kakorejrboyz6447منذ 3 سنوات Safi Sana Nape Misingi ndio hatuna swala sio mtu swala ni Misingi ya kulinda vyaketu kwasababu tukisema mtu Tanzania Katiba yetu haisemi mfumo wa kifalume id="hidden15" class="buttons"> kuwa kiongozi mpaka aage dunia ni mfumo wa demokrasia so Misingi ndio iwekwe na Katiba iheshimiwe ....وسعت 2
  • @
    @msangazimsangazipapaandomb8761منذ 3 سنوات UPUMBAVU MTUPU. HUYU NI MIUNGONI MWA WALIOPORA JIMBO KWA KUJIFANYA KAPITA BILA KUPINGWA MBWA HUYU! ANAJIPENDEKEZA APATE UTEUZI. RUBBISH GAY! 1
  • @
    @abuumkumbalu9123منذ 3 سنوات Mawazo ya huyu jamaa na ya kwangu yana fanana swala sio kuongeza muda swala inabidi tuweke mifumo mizuri kwa kizazi na kizazi
  • @
    @thekingbudah3711منذ 3 سنوات Nape kashapinga ujenzi wa bwawa la umeme jurias nyerere mpaka mapovu yanamtoka alipewa pesa akawa anawafanyia kazi wazungu waenderea kupiga dili 5