المدة الزمنية 12:6

Nguvu za miujiza | Jinsi ya kufungua | kufanya miujiza | | Psychic Powers | Part 2

بواسطة Rakims Spiritual
6 943 مشاهدة
0
139
تم نشره في 2021/05/23

Video sehemu ya kwanza /watch/Y1CnIQb8bdr8n 15: Levitation or transvection Uwezo wa mtu kupaisha au kuinua mwili wake kwenda juu bila msaada wa chochote 16: Mediumship or channeling Uwezo wa kuzungumza na roho zingine kama (majini,malaika,wafu,wanyama,wadudu). 17: Precognition or premonition Uwezo wa kuona jambo lijalo baadae kwa kupitia ndoto au kwa kupitia mgando wa akili yako kama ukiwa umezubaa au unaskiliza jambo usiloliona. 18: Prophecy Ni nguvu ya unabii wa kusema kitu kinachotokea wakati uliopo,uliopita na ujao pia muda fulani tofauti yake na precognition, Unabii unakuwa unajua yanayotokea kwa clear images na unaweza kujua au kutokujua lini itatokea na inategemea na ujumbe unavyopata kutoka kwa aliye kuumba(Ieleweke unabii uliishia mwisho kwa mtume wa mwisho peke yake kwa imani ya dini ya Kiislam) Sasa precognition unakuwa unaona tukio lijalo lakini hujui ni lini hadi siku limefika ndio unakumbuka hili niliona watu hawatakuamini hadi uwe umeweka record na humu ndio hutokea manabii wa uongo wengi tu. 19: Psychic surgery Uwezo wa kuondoa maradhi kwenye mwili wa mtu yaani upasuaji wa kiroho bila kumchana kwa mavisu na kumfanya apone kimiujiza kama uvimbe wa ndani na maradhi yanayohitaji upasuaji ni aina nyingine pia ya nguvu ya uponyaji 20: Psychokinesis or telekinesis Uwezo wa kuamuru au kuhamisha maada kwa kutumia fikra yako yaani kusukuma na kuongoza kitu kihame kwa fikra zako mwenyewe. 21: Psychometry or psychoscopy Uwezo wa kujua kitu au maelezo ya mtu au kitu kwa kukigusa yaani ukigusa tu kitu unajua hata kwa kupima maradhi ya mtu mikosi n.k kwa kumgusa 22: Pyrokinesis Uwezo wa kuongoza moto jinsi utakavyo yaani unaweza kuanzisha moto au kuwasha moto kwa nguvu ya roho yako. 23:Remote viewing, telesthesia or remote sensing Uwezo wa kuona na kujua kitu kilichopo mbali ambacho hakionekani kwa macho ya kawaida yaani uwezo wa kuona vitu vilivyo mbali sana kwa macho ya kawaida 24: Retrocognition or postcognition Uwezo wa kuona mambo yaliyopita au matukio yaliyopita miaka ambayo hata hukuwepo, Na historia ya vitu au watu katika ndoto na vile vile ukiwa kama umezubaa unapata maono. 25: Second sight Uwezo wa kuona jambo lililopita au lijalo kwa mfumo wa maono uwezo wa mtu kuona habari, kwa njia ya maono, juu ya hafla za baadaye kabla ya kutokea(utambuzi) au kuhisi uwepo wa mtu au tukio dakika chache kabla halijatokea. 26: Scrying Ni aina ya nguvu ambayo mtu huwezo kuchunguza/kuona vitu vingi kwa wakati mmoja na kupata habari kwa kutumia kitu alichoshika au kwa swali analotaka kulipatia majibu kama kusoma michoro/minyaa/pesa na kupata kitu kimoja ulichokua ukitafutia maelezo yake. 27: Telepathy Uwezo wa kuhamisha mawazo na fikra zako kwenda kwa kichwa kingine na kuanza kukiongoza unavyotamani na vilevile uwezo wa kuchukua habari zilizojificha kwenye akili ya mtu bila yeye kujua. 28: Thoughtography Uwezo wakuchoma picha na kupoteza vitu kwenye kichwa cha mtu na kuvisahau moja kwa moja. Kwa kutumia kichwa chako mwenyewe unaweza kumtoa mtu fikra mbovu na kuzifuta. Kwa haya na mengineyo tembelea http://rakimsspiritual.blogspot.com/

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 23