المدة الزمنية 8:53

Katlesi za kuchanganya nyama na mayai (Collabo Video)with English Subtitles

891 مشاهدة
0
30
تم نشره في 2020/08/16

#mincecutlets #potatocutlets #eggcutlets #scotcheggs Nyama ya kusaga 450g 1tsp uzile mzima, chumvi kiasi, dania ya unga 1tsp, tangawizi na thomu 2tbsp, 1tsp pilipili manga 1kg Mbatata Mayai ya kuchemsha 3, 1tbsp maji ya ndimu ,chumvi kiasi chako, kitunguu maji 1 kdgo na ukatekatendogo , dania fresh nusu kikombe ilokatwakatwa, viungo 1tsp uzile wa unga, 1tsp au zaidi pilipili manga ,1tsp pilipili ya chenga, 1tbsp tang/thomu Kukaanga Mafuta ya kutosha, chenga za mkate fresh na mayai mawili ya kuchova kuangalia video ya Farwat's kitchen bonyeza link hii hapa /watch/M950vopj1pvj0

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8